Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Game On DK 79'
Coastal Union 0 Kitayosce 0
 
Hizi timu za ligi kuu zinahitaji kasi za kuweza kushambulia
 
Coastal wanafanya mabadiliko ya wachezaji watatu hapa
 
Game On DK 83'
Coastal Union 0 Kitayosce 0
 
Yule wa Kitayosce anatolewa nje kwa msaada zaidi wa kimatibabu
 
Game On DK 85'
Coastal Union 0 Kitayosce 0
 
Niwakumbushe tu game iliyopita Kagera na JKT wametoka 1, 1 na magoli yote yamepatikana kwenye dakika za nyongeza
 
Game On DK 87'
Coastal Union 0 Kitayosce 0
 
Pasi nyingi za Kitayosce zinakuwa hazifiki mahali husika
 
Game On DK 89'
Coastal Union 0 Kitayosce 0
 
Mpira unaelekea Dakika ya 90.
Bado hakuna timu iliyoona lango la mwenzake
 
Kadi ya Njano inatoka kwa mchezaji wa Kitayosce kwa kupoteza muda
 
Back
Top Bottom