Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Toka 2008 name withheld, gmail naendelea kupata updates za jfHumu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.
Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.
PoleUnataka!!?
Sioni faida.. Maana sijawahi pata demu humu.
Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.
Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.
Tuambie wewe kwanza your fake IDsSawa ni wakongwe, kwa uhakika mnajivunia ukongwe wenu humu.
Mnaamini Hizi ndio ID zenu wote kila mmoja???.
Tutake radhi..Members ambao wapo humu from
2006 2009...
Hao ni very earliest elites on matters related to internets...
To be very specific.. Members wa 2006, 2007, 2008. Hawa ndo kiboko.. Sio tu elites, lakini ni wasomi wazuri. Hapa utakutana na wanasiasa mahiri..lecturers..
Watu wa kawaida ktk kipindiki hiki basi jua walikuwa wanatoka familia bora.
Member wa kipindi cha 2010 - 2013... Hapa ndo tuko wengi sasa..baada ya kutoka vyuo na kupata vi simu vyenye internet. Kundi hili hata wajinga jinga wapo, na familia za kawaida tu.
Sasa kuanzia 2014 to date.... Hapo sasa ndo shida...ni kizazi cha ajabu JF...Kundi hili ndo kuna wale wa Division 5...Wale wA GPA... Ni fujofujo tu.
So we realy need to pay respect to the JF's veterans. 2006 - 8,9. Smart brains. Huwezi kuta wana ujinga ujinga humu.
Nisamehe atakaemaindii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishatanguliza msamaha mkuu...Tutake radhi..
Sure unabadili,mimi pia nilitumia jina langu mwanzoni sababu ya ugeni na ikawa inanipa tabu kuwa huru. Muandikie Moderator request ya kubadili jina na uwaambie unataka jina ganiDaaa! Ninakaribia ukongwe mkuu . Miaka 9 Sasa . Lakini pia niulize naweza kubadilisha ID yangu maana nimegungua humu JF memba wengi hawatumii majina Yao halisi na inawapa uhuru wa kufunguka zaidi jukwaani.
Hahahahaaa umemaliza kila kitu...na ndio hasa lengo la uzi huu ila sikuweka wazi... wakiona ID zetu angalau wawe na staha kwenye malumbano ya hoja maana kuna uzi mmoja dogo mmoja alikua anamjibu Pascal Mayalla kama anamjibu mtoto mwenzieMembers ambao wapo humu from
2006 2009...
Hao ni very earliest elites on matters related to internets...
To be very specific.. Members wa 2006, 2007, 2008. Hawa ndo kiboko.. Sio tu elites, lakini ni wasomi wazuri. Hapa utakutana na wanasiasa mahiri..lecturers..
Watu wa kawaida ktk kipindiki hiki basi jua walikuwa wanatoka familia bora.
Member wa kipindi cha 2010 - 2013... Hapa ndo tuko wengi sasa..baada ya kutoka vyuo na kupata vi simu vyenye internet. Kundi hili hata wajinga jinga wapo, na familia za kawaida tu.
Sasa kuanzia 2014 to date.... Hapo sasa ndo shida...ni kizazi cha ajabu JF...Kundi hili ndo kuna wale wa Division 5...Wale wA GPA... Ni fujofujo tu.
So we realy need to pay respect to the JF's veterans. 2006 - 8,9. Smart brains. Huwezi kuta wana ujinga ujinga humu.
Nisamehe atakaemaindii...ππππππ