Wakongwe wa JamiiForums tujuane

Wakongwe wa JamiiForums tujuane

Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.
Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.
Toka 2008 name withheld, gmail naendelea kupata updates za jf
 
Daaa! Ninakaribia ukongwe mkuu . Miaka 9 Sasa . Lakini pia niulize naweza kubadilisha ID yangu maana nimegungua humu JF memba wengi hawatumii majina Yao halisi na inawapa uhuru wa kufunguka zaidi jukwaani.
 
Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.
Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.

Nipo humu toka 24-08.2009. Hiyo ni miaka mingapi wakuu?
 
Sawa ni wakongwe, kwa uhakika mnajivunia ukongwe wenu humu.

Mnaamini Hizi ndio ID zenu wote kila mmoja???.
 
Members ambao wapo humu from
2006 2009...

Hao ni very earliest elites on matters related to internets...

To be very specific.. Members wa 2006, 2007, 2008. Hawa ndo kiboko.. Sio tu elites, lakini ni wasomi wazuri. Hapa utakutana na wanasiasa mahiri..lecturers..

Watu wa kawaida ktk kipindiki hiki basi jua walikuwa wanatoka familia bora.

Member wa kipindi cha 2010 - 2013... Hapa ndo tuko wengi sasa..baada ya kutoka vyuo na kupata vi simu vyenye internet. Kundi hili hata wajinga jinga wapo, na familia za kawaida tu.

Sasa kuanzia 2014 to date.... Hapo sasa ndo shida...ni kizazi cha ajabu JF...Kundi hili ndo kuna wale wa Division 5...Wale wA GPA... Ni fujofujo tu.

So we realy need to pay respect to the JF's veterans. 2006 - 8,9. Smart brains. Huwezi kuta wana ujinga ujinga humu.

Nisamehe atakaemaindii...😂😂😂😂😂😂
 
Nisamehe atakaemaindii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutake radhi..
 
Member since 2014

Nishakuwa mkongwe humu mjengoni

Member wa kwanza kuwa na namba yake ni mkuu masai dada nimekumiss sana mpendwa
 
Tuliobadilisha ID kama zote ndani ya miaka hio 10 tuna komenti wapi? Lol
😂. Mi nilibadili username niliogopa kufungua ID nyingine kupoteza ukongwe wangu
 
Daaa! Ninakaribia ukongwe mkuu . Miaka 9 Sasa . Lakini pia niulize naweza kubadilisha ID yangu maana nimegungua humu JF memba wengi hawatumii majina Yao halisi na inawapa uhuru wa kufunguka zaidi jukwaani.
Sure unabadili,mimi pia nilitumia jina langu mwanzoni sababu ya ugeni na ikawa inanipa tabu kuwa huru. Muandikie Moderator request ya kubadili jina na uwaambie unataka jina gani
 
Members ambao wapo humu from
2006 2009...

Hao ni very earliest elites on matters related to internets...

To be very specific.. Members wa 2006, 2007, 2008. Hawa ndo kiboko.. Sio tu elites, lakini ni wasomi wazuri. Hapa utakutana na wanasiasa mahiri..lecturers..

Watu wa kawaida ktk kipindiki hiki basi jua walikuwa wanatoka familia bora.

Member wa kipindi cha 2010 - 2013... Hapa ndo tuko wengi sasa..baada ya kutoka vyuo na kupata vi simu vyenye internet. Kundi hili hata wajinga jinga wapo, na familia za kawaida tu.

Sasa kuanzia 2014 to date.... Hapo sasa ndo shida...ni kizazi cha ajabu JF...Kundi hili ndo kuna wale wa Division 5...Wale wA GPA... Ni fujofujo tu.

So we realy need to pay respect to the JF's veterans. 2006 - 8,9. Smart brains. Huwezi kuta wana ujinga ujinga humu.

Nisamehe atakaemaindii...😂😂😂😂😂😂
Hahahahaaa umemaliza kila kitu...na ndio hasa lengo la uzi huu ila sikuweka wazi... wakiona ID zetu angalau wawe na staha kwenye malumbano ya hoja maana kuna uzi mmoja dogo mmoja alikua anamjibu Pascal Mayalla kama anamjibu mtoto mwenzie
 
Faisal Fox...! Ni kati ya members ninaowakumbuka, hasa alivyokuwa akiwapasha watukutu jamvini enzi hizo, shule Zao wakienda na mabegi mgongoni fagio na dumu la maji.☺️😂😂
 
Sisi wengine tupo kusoma comments za wakongwe.
 
Back
Top Bottom