Wakongwe wa JamiiForums tujuane

Kwa ulichokiandika hapa unaonekana shemeji yako ana kajiuwezo afu hapo mtaani kwenu wanakukoma
 
Mkuu hebu tupe heshima yetu na sisi wa 2014 - 2019 usituchanganye na hawa wa kuanzia 2020 to date [emoji16][emoji16]
 
hebu nichekieni na mimi nazeekea humu humu....nilipojiunga tu nikala videmu vitatu vya JF sijui viko wapi sasa!
 
Sure unabadili,mimi pia nilitumia jina langu mwanzoni sababu ya ugeni na ikawa inanipa tabu kuwa huru. Muandikie Moderator request ya kubadili jina na uwaambie unataka jina gani
Mkuu siku hizi haipo hiyo ya hadi uonane na 'kuhani' akusaidie kubadili 'matendo'. Pazia la 'kuhani' lilishachanika siku nyingi, siku hizi ni wewe mwenyewe unabadili tu 'matendo' yako popote ulipo na wakati wowote na unakubaliwa, (mradi tu muda usiwe chini ya mwezi mmoja tangu ulipobadili mara ya mwisho). [emoji16][emoji16]
 
Kumbe na mie wa kitambo... account yangu ya Jambo Forum nilisahau password.
 
Enzi hizo jukwaa pendwa likiwa tech and gadgets, na JF store. Nokia N series(Symbian) zikiwa ndio kila kitu kwenye ulimwengu wa simu janja.
 
Tatizo ni kubadili Id's..baada ya kusahau pass word!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…