Wakongwe wa JamiiForums tujuane

I'd yangu ya kwanza 2007 mwaka wangu wa mwisho kazini ndio najiunga jf

Very long long time
 
12 Yrs, kitambo sana. Nikijiunga jf 2009 bt kutumia rasmi nilianza october 2010 kwenye uchaguzi mkuu
 
kuwa na adabu we jamaa, hakunaga tuzo za kutangulia ktk jambo fulan ama tuzo za kudumu ktk jambo fulan kwa muda mrefu, bali kuna tuzo za kuwa na good contents ktk jambo fulan bila kujali muda.

mm nilikuwa JF since2014 then nkaja kujiunga tena officially mwaka2018 kipind ambacho mnawadharau sana kuwa ni wapuuzi, lkn nikwambie tu, nikusanyie hao mapimbi wote waliojoin 2006-008 tumjue nan smarter than[emoji23]....
 
Nimemkumbuka PakaJimmy Preta na wengine tulikuwa zetu JF Arusha wing mara kibao tukifanya get together na mitoko mingine ya kijamii....
 
Mu wapi wakongwe wa JF

Aspirin
FaizaFox
Nyani Ngabu
Teamo
Husninyo
Kaizer
na wengineo ambao tulichagiza JF mpaka mwaka 2012 ? Tafadhali wakuu nisaidieni kufikisha salamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…