Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShikamooMember kitambo sana tangu Jambo forum.....
kuwa na adabu we jamaa, hakunaga tuzo za kutangulia ktk jambo fulan ama tuzo za kudumu ktk jambo fulan kwa muda mrefu, bali kuna tuzo za kuwa na good contents ktk jambo fulan bila kujali muda.Members ambao wapo humu from
2006 2009...
Hao ni very earliest elites on matters related to internets...
To be very specific.. Members wa 2006, 2007, 2008. Hawa ndo kiboko.. Sio tu elites, lakini ni wasomi wazuri. Hapa utakutana na wanasiasa mahiri..lecturers..
Watu wa kawaida ktk kipindiki hiki basi jua walikuwa wanatoka familia bora.
Member wa kipindi cha 2010 - 2013... Hapa ndo tuko wengi sasa..baada ya kutoka vyuo na kupata vi simu vyenye internet. Kundi hili hata wajinga jinga wapo, na familia za kawaida tu.
Sasa kuanzia 2014 to date.... Hapo sasa ndo shida...ni kizazi cha ajabu JF...Kundi hili ndo kuna wale wa Division 5...Wale wA GPA... Ni fujofujo tu.
So we realy need to pay respect to the JF's veterans. 2006 - 8,9. Smart brains. Huwezi kuta wana ujinga ujinga humu.
Nisamehe atakaemaindii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]