and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
- Thread starter
-
- #21
Kipindi cha gprs, speed ya 100kb/sec ilikuwa ni kama 4G kwa sasa..Umenikumbusha mbali sana, na kipindi hicho internet π ipo slow kinomaa π π .. nimetumia sana mzibo.net
π π .. ila tulikuwa wavumilivu sana watu wa zamani.. vijana hao wa kisasa hawakuelewi wao wamekutana na 4G .. ndio maana hata kwenye mambo mengine kwenye maisha hawana uvumilivuKipindi cha gprs, speed ya 100kb/sec ilikuwa ni kama 4G kwa sasa..
Si haba, 2004 hapo nimerudia, si unajua zamani la saba ilikuwa dili ..hahahah... shule nzima mnafaulu 10...Bado dogo tu kumbe na wewe kama 2004 ulikuwa Primary. 2004 nilikuwa nikeshamaliza degree yangu pale SUA na nilikuwa mwaka wa 3 kazini kule Kanda ya Ziwa mkuu kabla sijaanza kuuza madafu.
MODEM za US Robotics and Dialup connection ya TTCL...Kipindi cha gprs, speed ya 100kb/sec ilikuwa ni kama 4G kwa sasa..
Zamani kufaulu ilikuwa ni kipengele π€£π unaweza Kuta mtaa mzima kafauli mtu mmojaSi haba, 2004 hapo nimerudia, si unajua zamani la saba ilikuwa dili ..hahahah... shule nzima mnafaulu 10...
Nansi Mtikisiko π€π€wakongwe tulioharibikiwa tulikuwa tunapita rahatupu blog
Ukiwatajia internet wanakimbia wanafikiri duduMiaka hiyo member wengi wa sasa walikua bado ugimbi haujawatoka kinywani...π€£
Tumetoka mbali mzee..MODEM za US Robotics and Dialup connection ya TTCL..
Nigee namba, maana sasa hivi atakuwa mshangazi mwenye uzoefu kedekede ( kama nyani mzee )Dar hot wire nilipata mtoto mmoja mkali sana.
Very humble, binti anavaa magauni marefu anapendeza ila shughuli yake ni balaa.
2004 mwaka wa pili chuo,enzi hizo ukimaliza a level unakaa miezi 17 nyumbani kabla ya kujiunga chuoSi haba, 2004 hapo nimerudia, si unajua zamani la saba ilikuwa dili ..hahahah... shule nzima mnafaulu 10...
Ku set internet kwenye symbian phones...Enzi hizo mie kwetu na kitaa ndio nilikuwa mtaalamu wa computer π€£π€£ watu case zao zote walikuwa wanaleta kwangu.
Watu mna ID za sasa lakini kumbe kitambo sana...2004 mwaka wa pili chuo,enzi hizo ukimaliza a level unakaa miezi 17 nyumbani kabla ya kujiunga chuo
Mtu anapambana kupata waptrick π π πKu set internet kwenye symbian phones...
Kuna jamaa walipiga sana hizo pesa, ku set tu internet kwenye simu ya mtu...
Raha tupu mbona juzi tu,tushamasta internetwakongwe tulioharibikiwa tulikuwa tunapita rahatupu blog
Umeisikia tu. Hukuwa na umri wa kuitambua rahatupu. Kipindi hiko ulikuwa huchagui pa kunya dogo. πππwakongwe tulioharibikiwa tulikuwa tunapita rahatupu blog