Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

1737089186201.jpg
 
View attachment 3204285
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje..




View attachment 3204286
Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama sijasahau... watoto wengi humu kipindi hiki mnajisaidia kwenye nguo... kwa kipindi hiko hii ndio ilikuwa kama tinder sasa, nilipata manzi anaitwa Mwaju miaka hio sintosahau..





View attachment 3204288
Bongo5 miaka ya 2007/2008..




View attachment 3204289
Darhotwire miaka ya 2007/8/9... hapa wakongwe wengi mnakumbuka vingi sana kabla ya jamiiforums...




View attachment 3204290
Tanzatl, hii nadhani ilikuwa miaka ya 2004 kama sijasahu niko primary school ,.. kipindi hiko unamaliza darasa la saba una ndevu ushanyoa hadi upele kwenye kidevu..




View attachment 3204291
Jamboforums kabla haijavamiwa na watoto wa 2000s, hapa ni 2006/2007 nadhani kabla haijawa jamiiforums...




View attachment 3204292
Jamboforums 2006.... now jamiiforums, kipindi hiko wanafanya na donation ku run site...




View attachment 3204293
Business times au bcstimes.com--- hapa miaka ya 2004/2005 hata jamiiforums haipo, humu ndipo tulikuwa tunaingia kusoma habari, udaku, magazeti n.k




View attachment 3204297
Hii ni hi5 miaka ya 2002 kama sijasahau au 2003...



View attachment 3204299
Hii ni jambonet miaka ya 2004 i think so... hapa ilikuwa page under maintenence... nakumbuka...


View attachment 3204302
Hii ilikuwa ni YoungAfricans, miaka ya early 2000s.. kipindi hicho wengine ndio mnazaliwa halafu leo mnatutukana humu jamiiforums...
Tusiisahau Nyenzi.com
 
Hatukatai mkuu wewe ni mkongwe na maarufu wa kutunza screenshot za oldest websites,sasa nikuulize hiyo kazi yoote imekusaidia nn mpaka sasa hivi?Maana unavyojisifu utadhani imesaidia kukupa uwaziri wa teknolojia.
Tulia mdogo wangu alfu mbili... imenisaidia kuwakumbusha kwenye game tupo kitambo kipindi hiko mnajisaidia na kuchambwa sisi tupo online kwenye chatrooms tunatongoza watoto wazuri... hahahahh
 
hongereni sana wazee wetu kwa xperience mlionayo bt sisi hatuwatukani humi ila story na baadhi threads zenu ndo chanzo mana kuna muda utaona mkongwe kaandka uzi unase " nimemdinya mtoto wa 2000 baada ya kumdanganya mke wangu naenda job" hapa lazima ule tusi mzee..
Nimecheka kifala Bob kwamba mabraza wanazngua
 
Tulifaulu wawili tu kijiji kizima baada ya shule kufelisha miaka mitano! Tukaalikwa church, shule, serikali ya kijiji na ikaandaliwa sherehe, mwaka 1988 hiyo
😅😅😅 Zamani kusoma shule za serikali ni sifa kubwa sana, ila sasa hivi mambo yamebadilika, shule za serikali zinakimbiwa
 
Karibia 40 hiyooo, nawengine tayari imeshatupata[emoji1][emoji1][emoji1]. Siku hazigandi , hakuna kuogopa mana tunapita hapa duniani , hakuna atakaye baki, kikubwa tuufurahie wakati tulio nao na kukumbusha mambo ya nyuma na kuwa kumbuka ndugu jamaa na marafiki tulio kuwa nao enzi hizo ambao si kwa mapenzi yao walitangulia mbele za haki.

Hakika sote tunapita juu ya uso wa dunia hii. Hebu tufurahi tuu[emoji1732][emoji1732]
 
Back
Top Bottom