Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Umenikumbusha nyimbo ya nyambizi Dully Sykes anamuimba nyambizi demu wa miaka 40 duly hapo ana miaka 25😅shangazi likamwambia "dully kumbuka kiumri bado upo chini" dully akamwambia "nyambizi nionee huruma nishachoka kupiga puchu"

Afu kuna vesi shangazi likamwambia
"Aya dully Twende chumbani ukanienzi😅"
Mshangazi lazima uwe na shanga ya dhahabu kijanaaa .. kama hauna huyo ni bibi tu aliepoa😋😋😋..
Kula chuma hiyo 🔥🔥
 
Miaka 19 hiyo mkuu unapata mali Safi demu wa 2006 mileage ndo kwanza kilomtre moja bado hymen haijakwangulia vizuri k zao haznuki visamaki😅wala uduvi
First born Wangu ni Binti na ana miaka 22 sasa! Sasa kilichobaki Kwangu ni kumtumikia mola Tu maana hakuna ambacho sijafanya chini ya jua.
 
View attachment 3204285
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje..




View attachment 3204286
Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama sijasahau... watoto wengi humu kipindi hiki mnajisaidia kwenye nguo... kwa kipindi hiko hii ndio ilikuwa kama tinder sasa, nilipata manzi anaitwa Mwaju miaka hio sintosahau..





View attachment 3204288
Bongo5 miaka ya 2007/2008..




View attachment 3204289
Darhotwire miaka ya 2007/8/9... hapa wakongwe wengi mnakumbuka vingi sana kabla ya jamiiforums...




View attachment 3204290
Tanzatl, hii nadhani ilikuwa miaka ya 2004 kama sijasahu niko primary school ,.. kipindi hiko unamaliza darasa la saba una ndevu ushanyoa hadi upele kwenye kidevu..




View attachment 3204291
Jamboforums kabla haijavamiwa na watoto wa 2000s, hapa ni 2006/2007 nadhani kabla haijawa jamiiforums...




View attachment 3204292
Jamboforums 2006.... now jamiiforums, kipindi hiko wanafanya na donation ku run site...




View attachment 3204293
Business times au bcstimes.com--- hapa miaka ya 2004/2005 hata jamiiforums haipo, humu ndipo tulikuwa tunaingia kusoma habari, udaku, magazeti n.k




View attachment 3204297
Hii ni hi5 miaka ya 2002 kama sijasahau au 2003...



View attachment 3204299
Hii ni jambonet miaka ya 2004 i think so... hapa ilikuwa page under maintenence... nakumbuka...


View attachment 3204302
Hii ilikuwa ni YoungAfricans, miaka ya early 2000s.. kipindi hicho wengine ndio mnazaliwa halafu leo mnatutukana humu jamiiforums...
Wakati huo tunatumia at hotmail.com
 
Watoto wa 2000 hawawezi kuelewa hizi changamoto..😀
Screenshot_20250117-141153_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom