Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Yaani kwa jinsi walivyokuwa wanavaa, hadi uifikie ilipo ni kazi sana, sisi ilikuwa ukiona underskirt lazima maungo yashtuke🤣🤣
Dah!
Sema ilisaidia sana vijana ku focus kwenye masomo n.k.. kwa maaana kuipata ni kila baada ya miezi 6... si mchezo...
 
Nimeipenda hii
 
Dar enzi hizo miaka ya 2000-2002 nipo A level,mnaenda cafe maeneo ya posta baada ya kutoka skonga jitegemee,unaenda kuchek kama demu amekujibu text yako kwa email

Anna crush wangu wa enzi hizo kama upo humu na hii code utaitambua ebu nichek,last time tulionana kwa mbali mahakama kuu kitengo cha biashara ukiwa kama mwanasheria,ishu nilikuwa na mshua halafu nimeoa nikashindwa kuja kukuchek
 
Nilikuwa nashinda internet cafe kuchat darhotwire na messenger.

Salamu ilikuwa ASL (age sex location).

Rasmi sasa nimeamini kuwa mimi ni babu.
Acha kujizeesha mkuu🤣🤣🤣 2000+ si juzi tu tukiwa vijana wadogo kabisa, leo ndio wazee-vijana bado tupo.. ikifika 2050 hapo kweli tutaitwa babu ile ya ukweli!
 
Ulishindwaje kumchek huu uzembe kabisa man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…