mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
na zile chai zako za sijui mnigeria, msomaliNaonaga X wanazisifia kwenye RT zangu basi naishiaga kucheka..!! 😹
Nilikuwa na kibuzi changu cha kishua kinasoma Feza boys kikanihonga HTC smart phone.!!
Sasa nikaanza kuitumia kuna kitu nilikuwa natafuta nikajikuta nimeingia JF,
Nikaipotezea nimekuja kuwa active 2023 basi ndo mpk leo nipo..!! Hapo niko under 18. 🤣