Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Naonaga X wanazisifia kwenye RT zangu basi naishiaga kucheka..!! 😹

Nilikuwa na kibuzi changu cha kishua kinasoma Feza boys kikanihonga HTC smart phone.!!

Sasa nikaanza kuitumia kuna kitu nilikuwa natafuta nikajikuta nimeingia JF,
Nikaipotezea nimekuja kuwa active 2023 basi ndo mpk leo nipo..!! Hapo niko under 18. 🤣
na zile chai zako za sijui mnigeria, msomali
 
Naonaga X wanazisifia kwenye RT zangu basi naishiaga kucheka..!! 😹

Nilikuwa na kibuzi changu cha kishua kinasoma Feza boys kikanihonga HTC smart phone.!!

Sasa nikaanza kuitumia kuna kitu nilikuwa natafuta nikajikuta nimeingia JF,
Nikaipotezea nimekuja kuwa active 2023 basi ndo mpk leo nipo..!! Hapo niko under 18. 🤣
Umeingia mwaka gani
 
Acha utani basi mzee wangu..... Kwa wale waliozaa na miaka 19.. 20 hapo unakuwa mzazi wangu bila kukwepa 😂👊

Ntakupa heshima yako sasa.....
Bahati nzur nilizaa nikiwa na 34,,,first born wangu ana 11 now

Hata hivyo ni vizur coz ningezaa mapema matokeo yake mnajikuta na mwanao mnapambania vibinti vya 2000 😂😂
 
Afadhali umemchana nikamwonea huruma maana anasema yeye ni kijana mdogo,nikasema hamjui mangi huyu atamchana tu😂😂
Miaka 30 hakuna kijana mdogo mkuu , huwa ni umri wa kustaafu kabisa kwa mtu alie jipanga, sema ni vile tu maisha yetu kibongo bongo yana harakati nyingi za pimbi .
 
😂😂😂 mangi we noma kwahiyo anafaa astafu na kupata pensheni

Utawachanganya hawa watu ujue😂😂
 
Kabisa mkuu sema nini , maelimu yanapoteza sana mda ukizingatia unasoma tu upo chuo bila kufanya kazi ya kukuingizia kipato, unatoka chuo huna mia mbovu wala mishe na ujuzi wowote kitaa , huo ni msiba bwashee.
 
Kweli kabisa expert wangu,elimu inatuchukulia miaka mingi sana,hatimaye unaanza maisha tayar uzee huu hapa
 
Kweli kabisa expert wangu,elimu inatuchukulia miaka mingi sana,hatimaye unaanza maisha tayar uzee huu hapa
Acha utani basi mzee wangu..... Kwa wale waliozaa na miaka 19.. 20 hapo unakuwa mzazi wangu bila kukwepa 😂👊

Ntakupa heshima yako sasa.....
Miaka 20 nipo form two😅
 
Back
Top Bottom