Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

na zile chai zako za sijui mnigeria, msomali
Sasa pale ndo nilianza kuwa active, nikawachemshia chai nikajikuta nimezamia mazima 😹😹😹

Siku nikitulia ntawaletea chai nyingine najua lazima watatokea wenye visukari vyao tuanze ligi 😹🤣🤣🤣

Nimekumbuka nimecheka ulikuwa unanisumbua kweli nimalizie story
 
nimalizie PM😋
 
Ulikuwa unawahi wapi mkuu miaka 19😅afu huez amini nilikuwa mdogo wengne 23 24, kufika form four ni kuacha tu shule s unajua tena kijijini
Hapana ndo umri huo sasa mbn hata 30 bado 😂..... Nikifikria,30 kichwa kinawaka moto..... Vibaya mno 😂
 
Fedhea gani wakati wapo kwao?

Mbona jamii nyingine zinakaa kwao na wake zao,hiyo ni mitazamo yetu
Kwa sisi weusi ili uonekane wewe ni mpambanaji lazima kwenye hadithi zako ziwemo zile sentences za maisha fulani magumu from scratch mtu mwenye aliyepewa mabilion na wazazi tz anadharaulika kuliko mtu aliyeanzia matopeni
 
Back
Top Bottom