khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Miaka inaenda sana hapa majuzi tu tulikuwa na hizi application kabla ya instagram na uchafu mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebhanaa eeeh!Kuna ladies free, bush party, siamini, zeze, king crazy Gk, ay ft mwanafA
Acha masihara!Kuna hii ladies free "mule ndani utamuona shetta bado junk kinoma"
Hapo mimi barua ni ngoma ambayo naomba itimie siku moja😅iwe kweli maana n true story wangu alipoenda masomo 2013 alipata bwana mwingine na ikawa bye byeEbhanaa eeeh!
Umenikumbusha mbali!
Mask girl na ngoma yao Sina hali
Unique Sisters ngoma yao ya kwa sababu gani!
King GK na ngoma yake ya Sister Sister na Paulina Zongo!
Kuna ngoma nyengine ya GK nitakufaje!
Ngoma ya Dully inaitwa Bijou!
East Cost ngoma ya Leo!
Bushoke na ngoma yake ya Barua!
Hatuna kitu ya Rich one ft Sir Nature
Zay B ngoma ya nipo Gado ft Sir Nature
Bwana Misosi na Mad Man nitoke vipi!
Lady Jay dee na ngoma yake ya si wema
Q Chiller A.K.A Q chief na ngoma yake ya nitampata wapi kama yule
Brother umenikumbusba mbali!!!
mfuaji, Monetary doctorUmenikumbusha nyimbo ya nyambizi Dully Sykes anamuimba nyambizi demu wa miaka 40 duly hapo ana miaka 25😅shangazi likamwambia "dully kumbuka kiumri bado upo chini" dully akamwambia "nyambizi nionee huruma nishachoka kupiga puchu"
Afu kuna vesi shangazi likamwambia
"Aya dully Twende chumbani ukanienzi😅"
Hahahah!Hapo mimi barua ni ngoma ambayo naomba itimie siku moja😅iwe kweli maana n true story wangu alipoenda masomo 2013 alipata bwana mwingine na ikawa bye bye
Hahahah!
Kumbe watu yaliwatokea kweli?
😂😂😂😂
Pole sana!
Mimi kuna mwanamke mmoja alitokea kunielewa shuleni lakini miaka ya mbeleni Rihanna naya anatoka.
Mzee alikuwa kama copy ya Rihanna! Yaani mulemule!
Demu alitokea kunielewa ila kipindi hicho nilikuwa domo zege!
Her appearance resembled Rihanna's. From her face to her beautiful figure, everything was stunning...Kwamba unamuona kama rihanna
We jamaa? hahahaaahhUmetengeneza trillioni ngapi ndugu toka ulijue hili ?
We nahisi umecheza road rash, GTAs n.k...Aah Mkuu! Mbona mimi nina 32 na kipindi hicho computer home ilikuwepo na nimeichezea sana?! 😃
Na mimi nipewe heshima yangu?! 😁
Kwenye computer nilikuwa nacheza game ya Need for Speed na ile game risasi zikiisha inasema "Reload" "Reload" nimeshaisahau. Na game ya kufundisha kuzoea herufi za kwenye keyboard kwa haraka.
Ila umenikumbusha mbalii! Kipindi hicho nilikuwa navheza PS hatari!
Game ya super Mario, God of Hand, God of War, Motor Kombat, Tomb Rider, Grand Theft, Tekken Tag, Harry Porter n.k 😃
Kulikuwa na mwamba mmoja hivi alikuwa anasoma shule moja na brother alikuwa ni jirani yetu.
Mshikaji chumbani kwake alinunua vyombo vya kurekodia mziki, alikuwa anatengeneza biti!
Nicheke kwanza nisiendelee!!!
Ha....ha...hahaha!
Yani m kuna vitu imetokea kuvichukia tuWe jamaa? hahahaaahh
Hio ID yako Luigi alikuwa character kwenye gameboy, anaitwa luigi, ni kama ndugu yake na super mario, unachagua kati ya Luigi au Super Mario...Matunda cafe Morogoro
Computer no 14
Nakubali kaka lakini ndio tulikuwa dogo janja wenu miaka hio, mi computers nimejifunza toka kwa my brothers, walikuwa secondary miaka hio lakini nlikuwa mnyama sana kwenye TEHAMA....We
We mwenyewe kumbe dogo tu. Watu tuna hotmail 98. Umetumia windows at 95? Mac enzi hizo zinaandikwa macintosh. Ustishe watu dogo.
Duh! Game boy?!We nahisi umecheza road rash, GTAs n.k...
Nakupa heshima mkuu...
Super Mario nimecheza kwenye gameboy Nintendo tunawek catridges, game sega,nakubali kiongozi...
Mtaa mzima mimi ndie nlikuwa na gameboy, lilinuliwa Kenya... hahahaaaahh
😺😭😭😭Sijui nitubu na mimi
Symbian Phones, Symbian ilikuwa ni OS kama Android hivi sasa au iOS, N97, N72 n.k na latest smartphones zote wakati huo deal ilikuwa Symbain, wakati huo kulikuwa na Symbian OS, cha ajabu kipindi ANdroid inaanza walienda kwa Symbian kuwatongoza iwe kampuni moja, yaaani android iwe chini ya Symbian, Symbian wakakataa kwa kuwadharau android ni kikampuni kidogo... matokeo yake Symbian ikafa Android ipo.... Symbian imepambana sana kurudi lakini RIP...symbian Phones ndio Ile ile jamii ya Philips??
Kumbe wazee tupo wengi humu... hahahaaa...na ID zenu za mwaka 2023...aisee[emoji28] umenikumbusha mbali sana mkuu, enzi za msn
Kabisa mzee, sema we nimekusoma na madini unayosema humu nahisi una account ya 2007 ya jamboforums..Hatukati tamaa mzee Kila enzi na mbuyu wake