Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Kuna ladies free, bush party, siamini, zeze, king crazy Gk, ay ft mwanafA
Ebhanaa eeeh!

Umenikumbusha mbali!

Mask girl na ngoma yao Sina hali

Unique Sisters ngoma yao ya kwa sababu gani!

King GK na ngoma yake ya Sister Sister na Paulina Zongo!

Kuna ngoma nyengine ya GK nitakufaje!

Ngoma ya Dully inaitwa Bijou!

East Cost ngoma ya Leo!

Bushoke na ngoma yake ya Barua!

Hatuna kitu ya Rich one ft Sir Nature

Zay B ngoma ya nipo Gado ft Sir Nature

Bwana Misosi na Mad Man nitoke vipi!

Lady Jay dee na ngoma yake ya si wema

Q Chiller A.K.A Q chief na ngoma yake ya nitampata wapi kama yule

Brother umenikumbusba mbali!!!
 
Ebhanaa eeeh!

Umenikumbusha mbali!

Mask girl na ngoma yao Sina hali

Unique Sisters ngoma yao ya kwa sababu gani!

King GK na ngoma yake ya Sister Sister na Paulina Zongo!

Kuna ngoma nyengine ya GK nitakufaje!

Ngoma ya Dully inaitwa Bijou!

East Cost ngoma ya Leo!

Bushoke na ngoma yake ya Barua!

Hatuna kitu ya Rich one ft Sir Nature

Zay B ngoma ya nipo Gado ft Sir Nature

Bwana Misosi na Mad Man nitoke vipi!

Lady Jay dee na ngoma yake ya si wema

Q Chiller A.K.A Q chief na ngoma yake ya nitampata wapi kama yule

Brother umenikumbusba mbali!!!
Hapo mimi barua ni ngoma ambayo naomba itimie siku moja😅iwe kweli maana n true story wangu alipoenda masomo 2013 alipata bwana mwingine na ikawa bye bye
 
Umenikumbusha nyimbo ya nyambizi Dully Sykes anamuimba nyambizi demu wa miaka 40 duly hapo ana miaka 25😅shangazi likamwambia "dully kumbuka kiumri bado upo chini" dully akamwambia "nyambizi nionee huruma nishachoka kupiga puchu"

Afu kuna vesi shangazi likamwambia
"Aya dully Twende chumbani ukanienzi😅"
mfuaji, Monetary doctor
 
Hapo mimi barua ni ngoma ambayo naomba itimie siku moja😅iwe kweli maana n true story wangu alipoenda masomo 2013 alipata bwana mwingine na ikawa bye bye
Hahahah!

Kumbe watu yaliwatokea kweli?

😂😂😂😂

Pole sana!

Mimi kuna mwanamke mmoja alitokea kunielewa shuleni lakini miaka ya mbeleni Rihanna naye anatoka kimziki!

Mzee alikuwa kama copy ya Rihanna! Yaani mulemule! Kipindi nipo Seko.

Demu alitokea kunielewa ila kipindi hicho nilikuwa domo zege!
 
Kwamba unamuona kama rihanna
Hahahah!

Kumbe watu yaliwatokea kweli?

😂😂😂😂

Pole sana!

Mimi kuna mwanamke mmoja alitokea kunielewa shuleni lakini miaka ya mbeleni Rihanna naya anatoka.

Mzee alikuwa kama copy ya Rihanna! Yaani mulemule!

Demu alitokea kunielewa ila kipindi hicho nilikuwa domo zege!
 
Kwamba unamuona kama rihanna
Her appearance resembled Rihanna's. From her face to her beautiful figure, everything was stunning...

Nilishindwa mwenyewe!
Nilikuwa nawaogopa wanawake.

Kipindi hicho kabla hatujatoka shule dereva wa Mzee yupo nje ananisubiri na gari. Kama muda umepitiliza alikuwa anaingia shule kuniulizia, utamsikia aah baba yako kaniambia niingie nikuulizie amenipigia simu.

Ukishafika home ni kukaa ndani! Mwisho wa kuingia ndani ni saa 2 mageti yameshafungwa!

Mtoto wa kike nimjulie wapi?
 
Aah Mkuu! Mbona mimi nina 32 na kipindi hicho computer home ilikuwepo na nimeichezea sana?! 😃

Na mimi nipewe heshima yangu?! 😁

Kwenye computer nilikuwa nacheza game ya Need for Speed na ile game risasi zikiisha inasema "Reload" "Reload" nimeshaisahau. Na game ya kufundisha kuzoea herufi za kwenye keyboard kwa haraka.

Ila umenikumbusha mbalii! Kipindi hicho nilikuwa navheza PS hatari!
Game ya super Mario, God of Hand, God of War, Motor Kombat, Tomb Rider, Grand Theft, Tekken Tag, Harry Porter n.k 😃

Kulikuwa na mwamba mmoja hivi alikuwa anasoma shule moja na brother alikuwa ni jirani yetu.

Mshikaji chumbani kwake alinunua vyombo vya kurekodia mziki, alikuwa anatengeneza biti!

Nicheke kwanza nisiendelee!!!

Ha....ha...hahaha!
We nahisi umecheza road rash, GTAs n.k...
Nakupa heshima mkuu...
Super Mario nimecheza kwenye gameboy Nintendo tunawek catridges, game sega,nakubali kiongozi...
Mtaa mzima mimi ndie nlikuwa na gameboy, lilinuliwa Kenya... hahahaaaahh
 
We jamaa? hahahaaahh
Yani m kuna vitu imetokea kuvichukia tu
Mara sijui baba angu alikua hivi mara sijui nilikua hivi yni m sioni faida yke zaidi tujadili present yko now

Kuna vitu vilitokea ktka maisha yangu kwaio hua sioni faida yyte ya mtu kujidai kwa past yke while his present is poor
 
We

We mwenyewe kumbe dogo tu. Watu tuna hotmail 98. Umetumia windows at 95? Mac enzi hizo zinaandikwa macintosh. Ustishe watu dogo.
Nakubali kaka lakini ndio tulikuwa dogo janja wenu miaka hio, mi computers nimejifunza toka kwa my brothers, walikuwa secondary miaka hio lakini nlikuwa mnyama sana kwenye TEHAMA....
 
We nahisi umecheza road rash, GTAs n.k...
Nakupa heshima mkuu...
Super Mario nimecheza kwenye gameboy Nintendo tunawek catridges, game sega,nakubali kiongozi...
Mtaa mzima mimi ndie nlikuwa na gameboy, lilinuliwa Kenya... hahahaaaahh
Duh! Game boy?!

Umenikumbusha mbali sana!

Nilikuwa nacheza game ya Fantastic four!!
 
symbian Phones ndio Ile ile jamii ya Philips??
Symbian Phones, Symbian ilikuwa ni OS kama Android hivi sasa au iOS, N97, N72 n.k na latest smartphones zote wakati huo deal ilikuwa Symbain, wakati huo kulikuwa na Symbian OS, cha ajabu kipindi ANdroid inaanza walienda kwa Symbian kuwatongoza iwe kampuni moja, yaaani android iwe chini ya Symbian, Symbian wakakataa kwa kuwadharau android ni kikampuni kidogo... matokeo yake Symbian ikafa Android ipo.... Symbian imepambana sana kurudi lakini RIP...

Sasa ni android na iOS na tunaishi nazo...
 
Back
Top Bottom