Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Kabisa mzee, sema we nimekusoma na madini unayosema humu nahisi una account ya 2007 ya jamboforums..
😅Madini gani mkuu! Sema Leo nime-enjoy sana hii mada Yani nimekumbuka kipind Yale macomputer vichogo 😅na mambo
ya mega za picha mpka Leo nimezihifadhi!

Kuzungusha cassette na kalamu barua kutuma posta huwezi amini mpaka Leo naona vijana wanatumia posta kutumiana barua
 
Dah! Enzi za darhotwire mwanawane umenikumbusha mbali sana....nilikutanaga na mrembo happ hatari sema wakati huo ndio kwanza domo zege
Mzabzab kipindi mzee wa matukio, tena nasikia darhotwire ulikuw admin.. 🤣 🤣 🤣
 
Wanasema usiamshe vilivyo lala . acha ipumzike kwa amani, ID ilijipatia mshangazi wa maana sana humu jf, ule ulikuwa mshangazi haswaaa, ulikuwa mrefu meupee umejazia una hela, una nywele ndefu kinoma ...mzuri ulikuwa unatoka kaskazini kati. 🥸🥸🥸. ila acha ife hiyo ID iwe R.I.P
Nitakuwa makini sana kuangalia ID inakwenda kupewa RIP, ikiwa ya mwanamume tu, najua ni wewe... hahahahhh...
 
Duh! Game boy?!

Umenikumbusha mbali sana!

Nilikuwa nacheza game ya Fantastic four!!
Mzee wakati huo nipo na gameboy advance, ukiwa na handheld game console mtaani wewe ni mfalme, ilikuwa na battery unatumia za kununua , nilikuwa naweka duracell batteries, na catridge ya supermario, hio game imetoka 2001, 2003 nikawa ninayo... kwa sasa tuseme ni kama nintendo switch...
 
Darhotwire nakumbuka nilikutana na mrembo mmoja toka holland.
Aisee hatari nilifunga safari toka kandahar hadi roterdam kusaka mbususu ya kizungu
Mzabzab pumzika mzee wangu umri umekwenda sasa... 🤣 🤣
 
Dar chat vipi.... dar chat bana ukizungua wana ban ip address inayokuwa shared na computer zote za sehemu hiyo nadhani ni ile Public ip address ya mtandao kenge mmoja akizingua wakiban address wote mnakosa access
 
Back
Top Bottom