Gash Ole nsukuma shi father 😅Ebu nzogo totole mihayoNajionea mashokolo mageni mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gash Ole nsukuma shi father 😅Ebu nzogo totole mihayoNajionea mashokolo mageni mm
Sasa hivi njia ni mmoja tu haha😺ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
😅Madini gani mkuu! Sema Leo nime-enjoy sana hii mada Yani nimekumbuka kipind Yale macomputer vichogo 😅na mamboKabisa mzee, sema we nimekusoma na madini unayosema humu nahisi una account ya 2007 ya jamboforums..
Mzabzab kipindi mzee wa matukio, tena nasikia darhotwire ulikuw admin.. 🤣 🤣 🤣Dah! Enzi za darhotwire mwanawane umenikumbusha mbali sana....nilikutanaga na mrembo happ hatari sema wakati huo ndio kwanza domo zege
Nitakuwa makini sana kuangalia ID inakwenda kupewa RIP, ikiwa ya mwanamume tu, najua ni wewe... hahahahhh...Wanasema usiamshe vilivyo lala . acha ipumzike kwa amani, ID ilijipatia mshangazi wa maana sana humu jf, ule ulikuwa mshangazi haswaaa, ulikuwa mrefu meupee umejazia una hela, una nywele ndefu kinoma ...mzuri ulikuwa unatoka kaskazini kati. 🥸🥸🥸. ila acha ife hiyo ID iwe R.I.P
Hahahaha mkuu kwema?
Nawatumia death certificate 😅😅😅.. watasikitika watao ijua .. watajua daaah kafaaaNitakuwa makini sana kuangalia ID inakwenda kupewa RIP, ikiwa ya mwanamume tu, najua ni wewe... hahahahhh...
Kwema mkuu.Hahahaha mkuu kwema?
Umeadmika jukwaani
Mzee wakati huo nipo na gameboy advance, ukiwa na handheld game console mtaani wewe ni mfalme, ilikuwa na battery unatumia za kununua , nilikuwa naweka duracell batteries, na catridge ya supermario, hio game imetoka 2001, 2003 nikawa ninayo... kwa sasa tuseme ni kama nintendo switch...Duh! Game boy?!
Umenikumbusha mbali sana!
Nilikuwa nacheza game ya Fantastic four!!
Muhimu kupambania ugali mzee wanguKwema.
Mjukuu yamenikaba koo kidogo
Niko bye wala sina tatizoMuhimu kupambania ugali mzee wangu
Ila upo vyedii
Bwashee nilikuvutia waya naona kamba imekata 😂 tuuNawatumia death certificate 😅😅😅.. watasikitika watao ijua .. watajua daaah kafaaa
Uzi unatembea sana.. hahahahhhUzi ufungwe Sasa hata kama ni weekend Mods usku umeingia
Ooh jambo jema kiongoziNiko bye wala sina tatizo
FactOoh jambo jema kiongozi
Darhotwire nakumbuka nilikutana na mrembo mmoja toka holland.Mzabzab kipindi mzee wa matukio, tena nasikia darhotwire ulikuw admin.. 🤣 🤣 🤣
Kumbe humu madogo mpo wengi sana aisee2007 nilikua kijana mtanashati mwenye miaka 11 nasoma darasa la 4 na ninapendwa na Jackline mtoto wa mwalimu wa maarifa ya jamii
Mzabzab pumzika mzee wangu umri umekwenda sasa... 🤣 🤣Darhotwire nakumbuka nilikutana na mrembo mmoja toka holland.
Aisee hatari nilifunga safari toka kandahar hadi roterdam kusaka mbususu ya kizungu