Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kaka mimi sio wa 2006 bana🤣😂Mnatupiana vineno na kina Poor Brain na Intelligent businessman wa 2006, bora mtulie mlee wajukuu tu hawa vijana hawana nidhamu watawavua nguo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mimi sio wa 2006 bana🤣😂Mnatupiana vineno na kina Poor Brain na Intelligent businessman wa 2006, bora mtulie mlee wajukuu tu hawa vijana hawana nidhamu watawavua nguo.
Kwema kabisa mr jobless, mapema yote hii unaamka kufanya nini jombaa.Vishu Mtata habari za asubui kaka
Jamaa kasahau waptrickKawaida ya jana ni nzuri kuliko leo,na ndivyo leo itakuwa nzuri itakapo fika kesho.
Hata hivyo nimekumbuka yahoo, ilikua ndio site yangu bora.
Hivi waptrick umeiweka?
aisee matusi mazito hayo, kaka napumzisha mbavu maana kulala nje sio mchezaji 🤣😂Kwema kabisa mr jobless, mapema yote hii unaamka kufanya nini jombaa.
Au unalalia chaga unaamka kupumzika??
Hahaha.........hizo changamoto ndiyo nzuri Kwa sisi Wazee, vinginevyo baridi litatuua Wazee wote 😜Eeh babu ile yenyewe, leo tunakutana na vitoto tukiviambia sisi ni wazee vinatuambia "hem toa ujinga wako hapa, we bado mbichi kabisa"🤣🤣🤣 Mzee mwenzangu Grahams anayapitia haya kila siku.
darchat ndio ilikuja kuwa marafiki.com na screenshot ipo humu...Dar chat vipi.... dar chat bana ukizungua wana ban ip address inayokuwa shared na computer zote za sehemu hiyo nadhani ni ile Public ip address ya mtandao kenge mmoja akizingua wakiban address wote mnakosa access