Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Darhotwire maskini Zeze...Maliwaza, Mangeka miss Jack,Crazy Cat na yule mvuta Bangi Jahman ...kweli tumezeeka...
 
DSC03370.JPG

Miaka hio , huyo mwenye chui aliitwa Mwanaidi alijulikana kama Mona, pisi za enzi hizo.. hahahhh watoto wa alfu 2, hao mama zenu... hahahhh... enzi hizo...
Najua kuna wadau humu code wameisoma..
 
Eeh babu ile yenyewe, leo tunakutana na vitoto tukiviambia sisi ni wazee vinatuambia "hem toa ujinga wako hapa, we bado mbichi kabisa"🤣🤣🤣 Mzee mwenzangu Grahams anayapitia haya kila siku.
Hahaha.........hizo changamoto ndiyo nzuri Kwa sisi Wazee, vinginevyo baridi litatuua Wazee wote 😜
 
Dar chat vipi.... dar chat bana ukizungua wana ban ip address inayokuwa shared na computer zote za sehemu hiyo nadhani ni ile Public ip address ya mtandao kenge mmoja akizingua wakiban address wote mnakosa access
darchat ndio ilikuja kuwa marafiki.com na screenshot ipo humu...
 
Back
Top Bottom