Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Ukrislam sio dini mpya bali ni mshikamano wa dini hizo mbili kuzima ubaguzi kila dini itaendelea na ibada zakeHakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Watanzania tumekuwa mitaani na mashuleni kwa dini tofauti tofauti hasa hawa wa kizazi kipya huwezi kuwagombanisha wakina hamisi na kina yakobo, wakina hadija na kina sabrina ni ndugu.Paka anabaki kua PAKA na chui anabaki kua CHUI Hawawezi kua Pakchui
Actualy gen z beg to differ on that. Idea ni kuonyesha umoja si kuchanganya diniHakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Tunaishi kwa kutegemeana sote ndo maisha yalivo lakini inapofika suala la dini kila mtu na anachokiaminiWatanzania tumekuwa mitaani na mashuleni kwa dini tofauti tofauti hasa hawa wa kizazi kipya huwezi kuwagombanisha wakina hamisi na kina yakobo, wakina hadija na kina sabrina ni ndugu.
Tujifunze katika uhalisia na ukweli unaoendelea
Uislam ndio dini ya haki, asiefuata amepoteaUkrislam sio dini mpya bali ni mshikamano wa dini hizo mbili kuzima ubaguzi kila dini itaendelea na ibada zake
Hakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Point ni watu wamegoma kugawanywa kisa dini/imaniTunaishi kwa kutegemeana sote ndo maisha yalivo lakini inapofika suala la dini kila mtu na anachokiamini
Kwani Kuna dini inayohubiri uovu?Uislam ndio dini ya haki, asiefuata amepotea
Hskuna wa kukatana napanga bongoHawa Gen Z Hawako loyal kwa hizo DINI kama mnavo zani.
Wafia DINI ni wahenga ndo watakao katana mapanga
Umeshaambiwa hao ni gen z na ukrislamu ndio dini Yao na wewe ni mzee hiyo haikuhusuHakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Ktk uislam ukishakua baleghe tu unatakiwa ujitambue, hakuna Uislamu ukachanga na dini nyegine, hio ni kufuruUmeshaambiwa hao ni gen z na ukrislamu ndio dink Yao na wewe ni mzee hiyo haikuhusu
Dini ya haki ndicho nachozungumziaKwani Kuna dini inayohubiri uovu?
Dini zote ni za hakiDini ya haki ndicho nachozungumzia