PostGE2025 Wakrislam waishangaza BBC, DW na dunia baada ya kuzima udini kwa ubunifu

PostGE2025 Wakrislam waishangaza BBC, DW na dunia baada ya kuzima udini kwa ubunifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Asilimia kubwa ya watanzania wamechanganamana, unakuta mjomba na anti muislamu baba mkristo na kwenye sherehe wote mnajumuika.
Nusu ya wakristo unakuta Wana mademu wakristo au wanaume waislamu .
Vigodoro vyote ni full mixture. Halafu uje uwaambie watengane wakati huko kanisani kwenyewe wanaenda krismas na wakati wa harusi au wakifulia
 
Wakrislamu ni neno linalosikika sana nchini Tanzania kwa wakati huu, si madhebu mapya ya kidini lakini ni sehemu ya juhudi za vijana wa sasa maarufu kana Gen Z kupinga na kukabiliana na wale wanaohisi wanataka kuwatenganisha kutokana na juhudi zao za kupigania kile wanachosema haki kwa mgawanyiko wa kidini. Katika Ukrislamu kuna semi, salamu na jumbe za kidini zenye mchanganyiko kati ya dini za Kiislamu na Kikristo. Katika hilo, mtazame Tatu Karema na kisha weka ujumbe wako na maneno yako mengine katika muktadha huo nasi tujifunze mapya.
 
Ni ngumu sana kupandikiza udini Tanganyika

Ukoo Mmoja kuna dini tofauti na hawa ni ndugu wa damu auwezi kuwatenganisha kwa udini kwa sasa wakati wamekua pamoja

Mtaa mmoja kuna dini tofauti majirani wamekua pamoja wakishirikiana kila leo kwa kila kitu bila ubaguzi wowote, hawa auwezi kuwatenganisha kwa udini kwa kwa wakati huu ni kujidanganya
Wanataka kutuondolea kale kasheria ketu kwa lazima waislamu wachinje hata kama hawatakula
 
Asilimia kubwa ya watanzania wamechanganamana, unakuta mjomba na anti muislamu baba mkristo na kwenye sherehe wote mnajumuika.
Nusu ya wakristo unakuta Wana mademu wakristo au wanaume waislamu .
Vigodoro vyote ni full mixture. Halafu uje uwaambie watengane wakati huko kanisani kwenyewe wanaenda krismas na wakati wa harusi au wakifulia
Hilo halifanyi kuwa na crisislam. Uislam unajitegemea
Wanataka kutuondolea kale kasheria ketu kwa lazima waislamu wachinje hata kama hawatakula
Muislam hachinji mtu
 
Ukrislam sio dini mpya bali ni mshikamano wa dini hizo mbili kuzima ubaguzi kila dini itaendelea na ibada zake
Waislam wanajua vizuri udini wenu, ndiyo maana wanawaangalia tu,wala hawajihusishi, yaani kimsingi tunawasiliana sana kuhusu agenda zenu za udini,morogoro road, kinondoni watu wamekula shaba lakini hakuna misiba magomeni wala kinondoni, misiba Moshi, Arusha
 
Ikumbukwe dunia imekuwa kwenye vita vya udini maeneo mengi yamekuwa yakiwa kwenye vita bila kupata suluhisho la kutatua udini, huku makundi yenye itikadi kali za udini yakiacha majeraha makubwa. lakini kwa watanzania imekuwa tofauti.

Lakini kwa Tanzania sasa wamekuja na muunganiko wa krislam kama umoja na mshikamano kwa kauli za kibunifu ili kuzima udini huo, hali inayoweza kufungua milango ya mataifa yaliyochafuka kwa udini kuitumia mbinu hiyo.

Swali, Je ukrislam unaweza kuenea zaidi afrika na duniani na kuwa sulihisho la matabaka ya udini kuisha ?

Tanzania ilikumbwa na mizozo ya udini kwa siku chache baada ya maandamano huku mashekhe wakitoa kauli za udini na za kutisha kuwa samia anachukiwa na Gen z kwasababu ni muislam pia baadhi walisikika kuwa waandamaji walikuwa wakristo tu.

Sasa gen z wamejitokeza na Ukrislam kuunganisha umoja wa vijana wa kitanzania mbinu ambayo ndani ya siku chache imekuwa maaarufu ndani na sasa inaanza kuvuka mipaka kimataifa.

Shirika la habari la kimataifa la BBC limeripoti.

shirika la habari is kimataifa la DW lime ripoti na wameomba wafundishwe.

WAKRISLAM WOTE- SHALOM ALAIKUM, Tunawapenda wote, tumeuawa wote WAKRISLAM, Muuaji anataka kutugawanya ili aendelee kutuua, Tulimkataa Magufuli bin Jiwe, sasa tumkatae Chura binti Kiziwi na mwanawe muuaji Abdul Hafidh Ameir. Dini zisitutenganishe, wote ni watoto wa Mungu.
 
Hakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Nahisi wengi pengine tunaamua tu kujizima data .

Hoja iliyomezani siyo Muungano wa kuabudu bali ni issue ya umoja na mtangamano kwenye kulinda amani na uhusiano waliyonayo watu hao wawili wenye imani mbili tofauti.
 
Hakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Kwa comment kama hii ni wazi wewe ni dingi. Pole mzee, elewa tu mabadiliko hayazuiliki

Umeambiwa huo ni utaratibu ambao GenZ wameuanzisha, wewe bado unalazimishia mambo yako ya GenX
 
Ishu hapa ilikuwa ni kuwakomesha masheikh ubwabwa walioibuka na uislam wao kugawa wananchi wakapuuzwa vya kutosha. Ipo dini ya CHRISTISLAM imeanzishwa huko mashariki ya kati ila mpango huu wa kuwapuuza wachochezi wa kidini hauhusiani na dini hiyo mpya. Hapa ni ulalo ulalo kuwatoa nduki masheikh ubwabwa na mikwara yao ya kutaka kuchochea vurugu za kidini wakakuta vijana wao wa kiislam hawaamini ushenzi huo katika nyakati hizi za maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia
 
Masheikh ubwabwa wameishaona karata ya udini si deal tena, wamekuwa wapole baada ya kupuuzwa kwenye matamko yao kutishia watachinja watu. Ni washenzi kweli, watamchinja nani nao wabaki salama?
 
Huku mitaani ni bora kupeleka watoto wakafundishwe kusoma na kuandika kuliko kwenda madrasa kukaririshwa maroroso ya dini ya kiarabu yasiyoeleweka, na mwisho wanafundishwa kuchukia watu wasiokuwa wa dini hiyo na matokeo yake ndiyo haya kuibuka kwa masheikh wenye chuki za kidini
 
Kwa hivyo waliozuia maandamano 29 walikuwa waliosoma madrasa?
 
Ikumbukwe dunia imekuwa kwenye vita vya udini maeneo mengi yamekuwa yakiwa kwenye vita bila kupata suluhisho la kutatua udini, huku makundi yenye itikadi kali za udini yakiacha majeraha makubwa. lakini kwa watanzania imekuwa tofauti.

Lakini kwa Tanzania sasa wamekuja na muunganiko wa krislam kama umoja na mshikamano kwa kauli za kibunifu ili kuzima udini huo, hali inayoweza kufungua milango ya mataifa yaliyochafuka kwa udini kuitumia mbinu hiyo.

Swali, Je ukrislam unaweza kuenea zaidi afrika na duniani na kuwa sulihisho la matabaka ya udini kuisha ?

Tanzania ilikumbwa na mizozo ya udini kwa siku chache baada ya maandamano huku mashekhe wakitoa kauli za udini na za kutisha kuwa samia anachukiwa na Gen z kwasababu ni muislam pia baadhi walisikika kuwa waandamaji walikuwa wakristo tu.

Sasa gen z wamejitokeza na Ukrislam kuunganisha umoja wa vijana wa kitanzania mbinu ambayo ndani ya siku chache imekuwa maaarufu ndani na sasa inaanza kuvuka mipaka kimataifa.

Shirika la habari la kimataifa la BBC limeripoti.

shirika la habari is kimataifa la DW lime ripoti na wameomba wafundishwe.

Mkuu funga kazi kukomesha hizo mbinu za kuwatenganisha vijana wetu wa Tanganyika kwa misingi ya UKIRISTO & UISLAMU ni pale atakapojitokeza RASMI HABIL & KABIL Rais wa GenZ wa Tanganyika. Kijana huyu anayekwenda kwa Kasi sana kuwaleta vijana hawa Pamoja Jina Lake Haswa ni SHAREEF. Mzazi wake mmoja ana aslili ya Arusha, na yeye alizaliwa Arusha kabla ya kuhamia ughaibuni.
Huu ni muongo (2020-2030) wa kutokea mambo ambayo yanafanya watu wafungue midomo kwa mshangao; na Tanzania hatuko exempt. Yajayo yanafurahisha. Keep tuned!!!
 
Back
Top Bottom