😂😂😂Malaria 2 huwa inazingua hata kuweza kusababisha ukichaa
😂😂😂Malaria 2 huwa inazingua hata kuweza kusababisha ukichaa
Mtume alivyosema tuishi kwa amani na watu wa dini/Imani zingine alikuwa na maana gani?Ktk uislam ukishakua baleghe tu unatakiwa ujitambue, hakuna Uislamu ukachanga na dini nyegine, hio ni kufuru
Sio mfia dini ni ngumbaru mkuu hata Madrasa lilifeli hapo hata juzuu tatu kichwani hamna kitu hapo mwarabu koko wa kivule!Uyu maralia ni mfia nini kweli kweli
Hakuna uislam uuchange na dini nyengine, hakuna dini mseto. Huwezi muislam kutoa Salam kwa kuchanganya maneno ya dini 2. Hio ni kufuru ktk uislamMalaria 2 huwa inazingua hata kuweza kusababisha ukichaa
Alikua akitwambia tusiwabugue wasiokuwa waislam, ukiwabagua itakuja migogoro,lkn hakumaanisha kwamba tusamiane kwa jina la Yesu na jina la AllahMtume alivyosema tuishi kwa amani na watu wa dini/Imani zingine alikuwa na maana gani?
Ktk uislam uislam ukichanganya na dini nyegine hio ni kufuruSio mfia dini ni ngumbaru mkuu hata Madrasa lilifeli hapo hata juzuu tatu kichwani hamna kitu hapo mwarabu koko wa kivule!
😁😁
Ni HAKI au Aman ?Dini ya haki ndicho nachozungumzia
Ikumbukwe dunia imekuwa kwenye vita vya udini maeneo mengi yamekuwa yakiwa kwenye vita bila kupata suluhisho la kutatua udini, huku makundi yenye itikadi kali za udini yakiacha majeraha makubwa. lakini kwa watanzania imekuwa tofauti.
Lakini kwa Tanzania sasa wamekuja na muunganiko wa krislam kama umoja na mshikamano kwa kauli za kibunifu ili kuzima udini huo, hali inayoweza kufungua milango ya mataifa yaliyochafuka kwa udini kuitumia mbinu hiyo.
Swali, Je ukrislam unaweza kuenea zaidi afrika na duniani na kuwa sulihisho la matabaka ya udini kuisha ?
Tanzania ilikumbwa na mizozo ya udini kwa siku chache baada ya maandamano huku mashekhe wakitoa kauli za udini na za kutisha kuwa samia anachukiwa na Gen z kwasababu ni muislam pia baadhi walisikika kuwa waandamaji walikuwa wakristo tu.
Sasa gen z wamejitokeza na Ukrislam kuunganisha umoja wa vijana wa kitanzania mbinu ambayo ndani ya siku chache imekuwa maaarufu ndani na sasa inaanza kuvuka mipaka kimataifa.
Shirika la habari la kimataifa la BBC limeripoti.
shirika la habari is kimataifa la DW lime ripoti na wameomba wafundishwe.
Wewe umeshakua lizee hiyo ukrislamu ni ya gen z au Hujielewi umeshaambiwa hiyo ni dini ya vijana sio ya mazee kama weweKtk uislam ukishakua baleghe tu unatakiwa ujitambue, hakuna Uislamu ukachanga na dini nyegine, hio ni kufuru
Kwakwambia nani?Dini zote ni za haki
Ktk uislam hakuna mzee wala kijana. Muislam ni Muislam tuWewe umeshakua lizee hiyo ukrislamu ni ya gen z au Hujielewi
Yaani mpaka akili Yako imezeeka hujielewi umeshaambiwa hiyo ni ukrislamu we unasema uislamu hivi upo sawa kichwani au naongeaa na kopo umeshazeeka subiri kifoKtk uislam hakuna mzee wala kijana. Muislam ni Muislam tu
We ndo unasema tunachangia vizuri sanaHakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Huo utakuwa upagani sio uislamYaani mpaka akili Yako imezeeka hujielewi umeshaambiwa hiyo ni ukrislamu we unasema uislamu hivi upo sawa kichwani au naongeaa na kopo umeshazeeka subiri kifo
Huo umoja ni kuondoa huo ubaguziAlikua akitwambia tusiwabugue wasiokuwa waislam, ukiwabagua itakuja migogoro,lkn hakumaanisha kwamba tusamiane kwa jina la Yesu na jina la Allah
Mwezi huu hauishi utakua umekufa sababu umeshazeekaVijana wa kiislamu msikubali kuingia ktk mtego wa vijana wa kikiristo kwa kusingizio cha Genz . Hakuna ukiristo mchango na uislam. Tutabaki kuwa majirani na binadam . Lkn ktk swala la imani hilo halina nafasi