PostGE2025 Wakrislam waishangaza BBC, DW na dunia baada ya kuzima udini kwa ubunifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ktk uislam ukishakua baleghe tu unatakiwa ujitambue, hakuna Uislamu ukachanga na dini nyegine, hio ni kufuru
Mtume alivyosema tuishi kwa amani na watu wa dini/Imani zingine alikuwa na maana gani?
 
Malaria 2 huwa inazingua hata kuweza kusababisha ukichaa
Hakuna uislam uuchange na dini nyengine, hakuna dini mseto. Huwezi muislam kutoa Salam kwa kuchanganya maneno ya dini 2. Hio ni kufuru ktk uislam
 
Mtume alivyosema tuishi kwa amani na watu wa dini/Imani zingine alikuwa na maana gani?
Alikua akitwambia tusiwabugue wasiokuwa waislam, ukiwabagua itakuja migogoro,lkn hakumaanisha kwamba tusamiane kwa jina la Yesu na jina la Allah
 






Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Ni ngumu sana kupandikiza udini Tanganyika

Ukoo Mmoja kuna dini tofauti na hawa ni ndugu wa damu auwezi kuwatenganisha kwa udini kwa sasa wakati wamekua pamoja


Mtaa mmoja kuna dini tofauti majirani wamekua pamoja wakishirikiana kila leo kwa kila kitu bila ubaguzi wowote, hawa auwezi kuwatenganisha kwa udini kwa kwa wakati huu ni kujidanganya
 
Vijana wa kiislamu msikubali kuingia ktk mtego wa vijana wa kikiristo kwa kusingizio cha Genz . Hakuna ukiristo mchango na uislam. Tutabaki kuwa majirani na binadam . Lkn ktk swala la imani hilo halina nafasi
 
Yaani mpaka akili Yako imezeeka hujielewi umeshaambiwa hiyo ni ukrislamu we unasema uislamu hivi upo sawa kichwani au naongeaa na kopo umeshazeeka subiri kifo
Huo utakuwa upagani sio uislam
 
Vijana wa kiislamu msikubali kuingia ktk mtego wa vijana wa kikiristo kwa kusingizio cha Genz . Hakuna ukiristo mchango na uislam. Tutabaki kuwa majirani na binadam . Lkn ktk swala la imani hilo halina nafasi
Mwezi huu hauishi utakua umekufa sababu umeshazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…