concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Umeshazeeka subiri kifoHuo utakuwa upagani sio uislam
Wanataka kutuondolea kale kasheria ketu kwa lazima waislamu wachinje hata kama hawatakulaNi ngumu sana kupandikiza udini Tanganyika
Ukoo Mmoja kuna dini tofauti na hawa ni ndugu wa damu auwezi kuwatenganisha kwa udini kwa sasa wakati wamekua pamoja
Mtaa mmoja kuna dini tofauti majirani wamekua pamoja wakishirikiana kila leo kwa kila kitu bila ubaguzi wowote, hawa auwezi kuwatenganisha kwa udini kwa kwa wakati huu ni kujidanganya
Hilo halifanyi kuwa na crisislam. Uislam unajitegemeaAsilimia kubwa ya watanzania wamechanganamana, unakuta mjomba na anti muislamu baba mkristo na kwenye sherehe wote mnajumuika.
Nusu ya wakristo unakuta Wana mademu wakristo au wanaume waislamu .
Vigodoro vyote ni full mixture. Halafu uje uwaambie watengane wakati huko kanisani kwenyewe wanaenda krismas na wakati wa harusi au wakifulia
Muislam hachinji mtuWanataka kutuondolea kale kasheria ketu kwa lazima waislamu wachinje hata kama hawatakula
Uislam huwezi ukaupandikiza na kitu chengine. Gen z muislam shtukaUmeshazeeka subiri kifo
Waislam wanajua vizuri udini wenu, ndiyo maana wanawaangalia tu,wala hawajihusishi, yaani kimsingi tunawasiliana sana kuhusu agenda zenu za udini,morogoro road, kinondoni watu wamekula shaba lakini hakuna misiba magomeni wala kinondoni, misiba Moshi, ArushaUkrislam sio dini mpya bali ni mshikamano wa dini hizo mbili kuzima ubaguzi kila dini itaendelea na ibada zake
WAKRISLAM WOTE- SHALOM ALAIKUM, Tunawapenda wote, tumeuawa wote WAKRISLAM, Muuaji anataka kutugawanya ili aendelee kutuua, Tulimkataa Magufuli bin Jiwe, sasa tumkatae Chura binti Kiziwi na mwanawe muuaji Abdul Hafidh Ameir. Dini zisitutenganishe, wote ni watoto wa Mungu.Ikumbukwe dunia imekuwa kwenye vita vya udini maeneo mengi yamekuwa yakiwa kwenye vita bila kupata suluhisho la kutatua udini, huku makundi yenye itikadi kali za udini yakiacha majeraha makubwa. lakini kwa watanzania imekuwa tofauti.
Lakini kwa Tanzania sasa wamekuja na muunganiko wa krislam kama umoja na mshikamano kwa kauli za kibunifu ili kuzima udini huo, hali inayoweza kufungua milango ya mataifa yaliyochafuka kwa udini kuitumia mbinu hiyo.
Swali, Je ukrislam unaweza kuenea zaidi afrika na duniani na kuwa sulihisho la matabaka ya udini kuisha ?
Tanzania ilikumbwa na mizozo ya udini kwa siku chache baada ya maandamano huku mashekhe wakitoa kauli za udini na za kutisha kuwa samia anachukiwa na Gen z kwasababu ni muislam pia baadhi walisikika kuwa waandamaji walikuwa wakristo tu.
Sasa gen z wamejitokeza na Ukrislam kuunganisha umoja wa vijana wa kitanzania mbinu ambayo ndani ya siku chache imekuwa maaarufu ndani na sasa inaanza kuvuka mipaka kimataifa.
Shirika la habari la kimataifa la BBC limeripoti.
shirika la habari is kimataifa la DW lime ripoti na wameomba wafundishwe.
Nahisi wengi pengine tunaamua tu kujizima data .Hakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Hahaha 😂Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 cc Busu la Kenge secretarybird
Sijakuita mbona unahara ovyo,Hakuna uislam uuchange na dini nyengine, hakuna dini mseto. Huwezi muislam kutoa Salam kwa kuchanganya maneno ya dini 2. Hio ni kufuru ktk uislam
Kufuru wapi wewe acha mitazamo ya kijima ya Kiquraish Shabhashhhh!Ktk uislam uislam ukichanganya na dini nyegine hio ni kufuru
Kwa comment kama hii ni wazi wewe ni dingi. Pole mzee, elewa tu mabadiliko hayazuilikiHakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Wewe lazima uwe lizee la zamaHakuna kitu kama hicho, muislamu hawezi kuchanga imani na mtu mwengine
Kwa hivyo waliozuia maandamano 29 walikuwa waliosoma madrasa?Huku mitaani ni bora kupeleka watoto wakafundishwe kusoma na kuandika kuliko kwenda madrasa kukaririshwa maroroso ya dini ya kiarabu yasiyoeleweka, na mwisho wanafundishwa kuchukia watu wasiokuwa wa dini hiyo na matokeo yake ndiyo haya kuibuka kwa masheikh wenye chuki za kidini
Mkuu funga kazi kukomesha hizo mbinu za kuwatenganisha vijana wetu wa Tanganyika kwa misingi ya UKIRISTO & UISLAMU ni pale atakapojitokeza RASMI HABIL & KABIL Rais wa GenZ wa Tanganyika. Kijana huyu anayekwenda kwa Kasi sana kuwaleta vijana hawa Pamoja Jina Lake Haswa ni SHAREEF. Mzazi wake mmoja ana aslili ya Arusha, na yeye alizaliwa Arusha kabla ya kuhamia ughaibuni.Ikumbukwe dunia imekuwa kwenye vita vya udini maeneo mengi yamekuwa yakiwa kwenye vita bila kupata suluhisho la kutatua udini, huku makundi yenye itikadi kali za udini yakiacha majeraha makubwa. lakini kwa watanzania imekuwa tofauti.