PostGE2025 Wakrislam waishangaza BBC, DW na dunia baada ya kuzima udini kwa ubunifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa hivyo waliozuia maandamano 29 walikuwa waliosoma madrasa?
achana na mambo ya kidini we kobazi, dini haitakufikisha paradiso. Utu na haki ndio falsafa ya maisha. Usitenge watu kwa uislam utaonekana juha
 
Huko misikitini fundishaneni namna ya kuondokana na umasikini, uzalishaji mali na miradi ya maendeleo. Sio kukaa jamvini unamsikililiza sheikh anajamba ushuzi kunuka kuchochea migogoro ya kidini karne hii ni ushenzi mtupu usiokubalika kwa watanzania
 
Bahati nzuri nimezaliwa katika imani ambayo hairuhusu kuchukia watu wengine, nipo kwenye imani iliyojengwa kwa misingi ya upendo kwa watu wote, kuwa na amani kwa watu wote. Kama ningezaliwa kwenye imani ya kikobazi halafu anatokea sheikh kujaza waumini chuki wachukie watu wengine nisingefuata mafundisho hayo, huyo sheikh mhubiri shari ningemuona ni juha tu
 
Hakuna muislam anaemchukia mkiristo. Hilo ondoa wasiwasi
 
Upuuzi huo ndiyo mmezima udini. A maigizo hayo.. pumbavu zenu
 
Uislamu unasema ni dini ya haki, ila cha ajabu wale mashekhe ubwabwa neno HAKI waligoma na wamegoma kabisa kulitaja
 
Ukrislam sio dini mpya bali ni mshikamano wa dini hizo mbili kuzima ubaguzi kila dini itaendelea na ibada zake
Hakunaga mshikamano kati ya Muslim na mkristo maana siku zote Muslims hawawathamini wakristo.
Udini upo nanutaendelea kuwepo Tanzania.

Hii udini haunekani na hauna madhara kwa kuwa wakristo ni wengi kuliko Muslims na wengi huwa hawajali,laiti kama wakristo wangekuwa na ubaguzi na ubunafsi kama waisalamu hapa tungeongea mengine.
 
Naunga Mkono juhudi za kuzima udini kwa nguvu zote. Allah wa Yakobo atulinde na kutupa Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…