Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Thanks to Fox News for reporting this.
70 Christians beheaded in African country by ISIS-aligned militants, groups say; world mostly silent #FoxNews
IMG_0205.jpeg
 
Roho mbaya inapimwa kuanzia misingi ya Imani inayomjenga mhusika.
Ndio akili yako ilipoishia hapo ?. Roho mbaya haisababishwi na Metric moja.

Kwanini nilisema unaroho mbaya.?

Umefundishwa kuchukia uislamu tangu uko mdogo, umefundishwa kuchukia mtume Muhammad, umefundshwa kuukashifu uislamu.

Hizi ni Virus ambazo wakristo wa Afrika wamelishwa na wazungu nao wanaendeleza huu utamadani kwa kizazi Chao ambacho ndio wewe.

Uliofundishwa wewe unaya apply kwenye comment, ila wazungu waliowaletea huu utamaduni wao wanaendeleza practically kwa kulipa mabilion ya pesa kuuchafua uislamu.

Ulichofundishwa ndio roho mbaya, hkuna muislamu anaefundishwa au kufundsha hbr za kuuchafua ukristo, sijui yesu, sijui mikakati hkuna hcho kitu.

Mimi nimesoma Madrasa since niko 4, nikiwa chekechea mpka namaliza university nimefundshwa uislamu na walimu tofaufi tofaut Ndani na nje ya nchi. Hakuna mafundsho mengine tofauti na Qur'an, Tawhiid, Fiq na hadith.

Hatujui chochote nawala hatunashida ya kujua chochote kuhusu ukristo, Qur'an inatueleza mnadini yenu nasie tunadini yetu.
Wewe unavishwa sumu kuwa Waislamu ni magaidi, sijui mtume mbakaji, sijui wauwaji sangapi utakosa kuwa na rohombaya dhidi ya uislamu.

People can not attack what they don't know, mimi sijafundshwa chochote kuhusu ukristo nitakuwaje na habari na wewe ?
 
Pole mkuu. Ndiyo ukweli unaouma. Waislam wana chuki kali na mbaya sana kwa WAKRISTO kuliko WAKRISTO wanavyowathanmini waislam. Mifano haitoshi humu. Badilikeni. Hii dunia ya wote,
 
Ningumu sana kukuta Taasis ya elimu ya kikristo inafundisha watoto wadogo wasiwafundishi watoto kuuchukia Uislamu.
Watawaimbisha nyimbo za chuki, km sio nyimbo bc maneno ya chuki sijui habari za majini yapo kwa waislamu, sijui ugaidi upo kwa waislamu,

wengine wanafanya hta comparison ya zawadi. Haya yanaendelea huko mikoa ya kigoma, rukwa nabaadhi ya mikoa mingi hasa ya kaskazini.

Zawadi zinafunguliwa mtoto anaambiwa ukipata zawadi mbaya basi ni yamtume, ukipata nzuri basi niyayesu. Yani ni kuangaika tu.
Yote haya yanatosha kusema kwamba mmevishwa roho mbaya na chuki dhidi ya uislamu.

Nitajie hata taasisi moja tu yakiislamu, moja tu iwe Madrasa au Shule inafundisha watoto habari za kikristo, kisha utasema rohombaya waislamu dhidi ya uikikristo wanaitoa wapi ?
 
Unaropoka na kutunga uongo na uzandiki na kunahamaki kwa yasiyo kweli. Biblia Ina mafundisho ya msingi mengi mno wanayotakiwa watoto kuelewa na kukariri. Wala sijui hata jina Mohamed watoto wa Sunday and Sabbath School wanalijua. Maana hawana kazi nalo. Upoteze muda kumkaririsha mtoto matakataka na ujinga eti ugaidi sijui upupu gani mara uislam unawasidia nini kiroho ?
 
Ivi DRC napo kuna wanamgambo wa Islamic State kama Boko haram wa Nigeria 🇳🇬?
Huwa Najiuliza hawa waasi wanawashida vipi wanajeshi wa UN??
Wanajeshi wa UN wapo kisiasa, wao wanapita mitaani hawaruhusiwi kushambulia - kifupi ni njia ya kula perdiem dola 300 kwa siku.
 
Back
Top Bottom