Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Mnataka wasingizia Islamic wakati wa congo wanasema majeshi ya congo na burundi 🇧🇮 ndio waliohusika
 
Dahhhh inaumiza sana.

Tumuombe Mungu aingilie kati yeye mwenyewe.

Wakongomani wanateseka mno.
 
Jeshi la East Africa lilitakiwa kupambana na ADF na FDLR hawa sio Waasi ni wauwaji.
 
Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Kulingana na vyanzo vya habari, mnamo saa nne asubuhi Alhamisi iliyopita (13 Februari) washukiwa wa wanamgambo kutoka Allied Democratic Forces (ADF) - kikundi chenye uhusiano na kile kinachoitwa Islamic State (IS) - walikaribia nyumba za Mayba katika eneo la Lubero, wakisema: "Ondoka, toka nje na usipige kelele yoyote." Wanaume na wanawake ishirini wa Kikristo walitoka nje na kukamatwa.

Wakitikiswa na tukio hili, watu kutoka jamii ya eneo la Mayba baadaye walikusanyika ili kupanga jinsi ya kuwaachilia wale waliokuwa wamefungwa. Hata hivyo, wanamgambo wa ADF walikizingira kijiji hicho na kuwakamata waumini wengine 50.

Wote 70 waliotekwa nyara walipelekwa katika kanisa la Kiprotestanti huko Kasanga ambako waliuawa kwa kusikitisha.

===================================================

Seventy Christians have been found beheaded in a church in the Democratic Republic of Congo (DRC), in what’s the latest devastating attack on believers in the north east of the country.

According to field sources, at around 4am last Thursday (13 February) suspected militants from the Allied Democratic Forces (ADF) – a group with ties to so-called Islamic State (IS) – approached homes in Mayba in the territory of Lubero, saying: “Get out, get out and don’t make any noise.” Twenty Christian men and women came out and were captured.

Shaken by this incident, people from the local community in Mayba later gathered to work out how to release those held captive. However, ADF militants surrounded the village and captured a further 50 believers.

All 70 of those kidnapped were taken to a Protestant church in Kasanga where they were tragically killed.

Muhindo Musunzi, director of the Kombo primary school [which belongs to the CECA20 church], says that prior to this incident, churches, schools and health centres had all shut their doors because of the chaotic security situation. “We had to move all activities towards Vunying,” he said.

Field sources report that, until yesterday (Tuesday 18 February), some families had not been able to bury their dead because of insecurity in the area. Many Christians have now fled the area for their safety.

“We don’t know what to do or how to pray; we’ve had enough of massacres,” says an elder of the CECA20 church. “May God’s will alone be done.”

Source: Open Doors
Wsmefika 140
 
Wanatafuta wa kumlaumu
Vikosi vyote kuna wafadhili wanaowapa silaha
Majirani wanatuma majeshi hawasemi majeshi ya kikristo yanapambana
Wameona pa kulaumu sasa
Wapambane na hali yao
Huu mtego wengi wameingia na matusi kama yote
Ukiangalia kiwango cha ukurupukaji, upotoshaji, chuki na halafu uelewa mdogo katika hii forum unaweza pata picha ya madhara yanayoweza kutokea iwapo litatokea kundi lenye nia ovu na nchi. Watu wanakariri na kuna vibendera kufata upepo na matusi chungu mbovu halafu wanasingia kuwa inasababishwa na kula ugali 😒
 
Ukiangalia kiwango cha ukurupukaji, upotoshaji, chuki na halafu uelewa mdogo katika hii forum unaweza pata picha ya madhara yanayoweza kutokea iwapo litatokea kundi lenye nia ovu na nchi. Watu wanakariri na kuna vibendera kufata upepo na matusi chungu mbovu halafu wanasingia kuwa inasababishwa na kula ugali 😒
Kuna watu wana chuki tu za kijinga bila kuelewa nini kinaendelea duniani.
Ila hawanipi shida hao kama hawaniambii usoni humu wengi wanaishi double life, ambayo ni mbaya sana
 
Unatumia nguvu nyingi sana kuutetea uislamu.
Shida ya dini yako ni kutaka kuwa na mamlaka ya kisiasa na si vinginevyo!Hao wa Isis,Boko harama, Kibiti na wengineo ndoto yao ni kuutawala ulimwengu kupitia uislamu.Watafanya kila hila ili azma yao itimie.
Natumiaga msemo huu Mizwazwa ni mzigo kwa Taifa !!!! Embu Wasaidieni wasomaji wa jamii forum Kwaiyo kufa watu KANISANI waislamu wanausikaje!!!!

uko Congo kwani hiii ndio mala kwanza Watu kuuwawa kanisani au misikitini kwa Sababu za ukabila!! aya waambieni wasomaji wenu!!!

kule Rwanda yale mauwaji pale KANISANI nayo ni Waislam ndio walienda kuwauwa!!! Milokole ndio mana mkaitwa mikondooo vichwani kumejaa Ushuzi tupu!!!!!
 
Wakiuua wanasema allah akbar huku waki-quote verse za quran
Hivi unajua wazungu na jews wana plan za miaka mia mbele siyo kama wewe unaweka malengo ya hela ya kula
Unajua kama wazungu na jews wanajua kiarabu kuliko unavyodhania??
Na jews walikamatwa france na wengine uturuki wakiwa na passport za syria na wanaongea kiarabu vizuri tu wakijifanya wasyria na walikuwa wamebeba vilipuzi
Embu elimikeni acheni uzwazwa
 
EE YESU KRISTO BWANA wetu

Tusaidie jaman dhidi ya huyu muovu shetani na dini yake ya kishetan aliyoanzisha
 
Sehemu yoyote Maslahi ya mabeberu yakiguswa fasta hao jamaa wanakuja.


Ifike dunia ianze kuwajibu nyie na hiyo dini yenu ya kigaidi, huwa mnajiona kama wenye monopoly ya violence, japo Yesu alishatabiri ujio wa huyo allah na namna atawafanya mkate vichwa vya Wakristo, lakini inabidi msichekewe.
Mnatia hasira sana tu.
 
Naona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Uzuri wa nyie jamaa hamjawahi kukubali kuna waumini wenu waliopotoka.

Kama kawaida lawama zote kwa John.
 
Kumbe hata huelewi unachoandika, na source zako za kubumba, hapo ni kuwa USAID walitoa msaada kwa waislam kwa ajili ya shule zao, kwa upumbavu wao wakazihamishia hizo hela kwenye shughuli za ugaidi, who is fool now?
Yes ni kama Hamas walivogeuza fedha za msaada na kuzipeleka kwenye ugaidi na matokeo yake Gaza imekua magofu huku maelfu ya raia wasiokua na hatia wameangamia.
 
Uzuri wa nyie jamaa hamjawahi kukubali kuna waumini wenu waliopotoka.

Kama kawaida lawama zote kwa John.
Kuna vita kibao vya Taliban, Hamas, Sudan vipo, Morocco na western Sahara, Hizbollah etc kote vinajulikana waisilamu wanapigana.

Ila sio Isis na Al Qaeda, mbumbumbu pekee ndio atawaita waisilamu kwa evidence ambazo zipo.

Huna hata haja ya kutafuta Evidence wanazotoa Waisilamu, hapo hapo Usa kuna Wanasiasa kibao kuanzia Trump mwenyewe, Team yake hadi Cia mbalimbali wakihojiwa kukiri hayo makundi yanakuwa Funded na Usa.

So unahisi Trump hayupo Informed? Ama leaders wa Cia hawajui?

Huyu Mccain ambaye mpaka kesho ameshindwa kutoa majibu
1. Huyo aliyepiga nae picha anayefanana na Kiongozi wa Isis ni nani
2. Kwanini kina Mc Cain wapo Isis (mmoja aliuliwa na kundi linalopigana na isis ushahidi upo) hakuna waisilamu wanaoitwa Mc Cain


Trump alisema Obama ndio founder wa Isis, watu wakawa wanasafisha safisha na kusema ameongea hivyo hakumaanisha, bali Obama alitengeneza Vacum ndio maana Isis wakatokea, Alivyohojiwa tena Trump akakataa logic hio na kusisitiza alimaanisha alichosema Obama ndio ametengeneza Isis.

 
Back
Top Bottom