Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Nipe ayah inayohalalisha walichokifanya , dhumuni la kuvamia ilikuwa n nn kama unajua au ulikuwa bado mdogo ?Utasemaje kuhusu mauaji yale yaliyofanywa kwenye supermarket na chuo kikuu hapo nchini Kenya, ambapo watu walikuwa wanaulizwa dini zao na maswali kutoka kwenye mafundisho ya dini ya kiislam, ukishindwa kujibu unauawa?
Wewe ushukuru hujalishwa hayo mafundisho ya uislam shetani.
Jiulize, uliwahi kusikia mahali popote Duniani alitokea gaidi mwenye imani au hata jina tu la kikristo au budha au hindu akawa anawachagua watu wa dini fulani tu na kuwaua? Wapo waovu katika dini zao, lakini uovu wao hawaufungamanishi na dini zao, na ndiyo maana hata uovu wao hautalenga watu wa imani fulani.
Sina chuki na wala siwezi kuwa na chuki na uislam, lakini ni ukweli ulio dhahiri kuwa kuna baadhi ya mafundisho ndani ya uislam yanayosababisha watu kuwa mashetani katika mazingira yetu.
watu wanaotaka Ranson ndio wanapigania dini?