Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Ivi DRC napo kuna wanamgambo wa Islamic State kama Boko haram wa Nigeria 🇳🇬?
Huwa Najiuliza hawa waasi wanawashida vipi wanajeshi wa UN??
UN pale Kongo ipo kama picha ya kuchora tu.
 
Tukiwambia vita si nzur haichagui utasikia no reform no election that is after Math ya vita inagusa kila engle ya kijamii pole zao
Wewe uko zako Tandale huko uniambie mimi naekwenda DRC aisee..
 
Maistadh wa Tandika,Umurushaka, Kyaka,Mpiga Miti, ....wakiona mtu kavaa Kanzu na takbiri wanajua huyu ni mwenzao ...hata akiiba! Unakumbuka suala la Uwekazaji w DP jinsi ambavyo kuna Waislam walikiwa wanalilitetea kipumbavu!
Hata hao maustadh wa Tandika I doubt,

Isis/Al Qaeda wamesha cross red line, tayari kuna Fatwa za maulamaa, ina maana kuwasafisha ni kwenda against maulamaa ukatafute dini yako nyengine.
 
Wanatafuta wa kumlaumu
Vikosi vyote kuna wafadhili wanaowapa silaha
Majirani wanatuma majeshi hawasemi majeshi ya kikristo yanapambana
Wameona pa kulaumu sasa
Wapambane na hali yao
Huu mtego wengi wameingia na matusi kama yote
 
Kumbe hata huelewi unachoandika, na source zako za kubumba, hapo ni kuwa USAID walitoa msaada kwa waislam kwa ajili ya shule zao, kwa upumbavu wao wakazihamishia hizo hela kwenye shughuli za ugaidi, who is fool now?
Hivi kwa akili yako unadhani marekani hajui anachokifanya , au unategemea atume hela throigh bank transfer kwenda kwa boko haram???
Waafrika wengi akili ni ndogo sana ndio maana raisi kuwa devided na kuibiwa rasilimali zenu
Leo mlikuwa mnadanganya sijui vita urusi mbaya, leo trump kamwambia zelensky utafuata peace plan yangu au sahau kuhusu ukraine, na kwenye peace plan ya trump marekani itachukua resources zenye thamani ya usd 500b kutoka kwenye ardhi ya ukraine
Kuhusu palestina mlikuwa mnaaminishwa sijui hamas magaidi, leo trump kaweka wazi kwamba marekani inaichukua palestina inaweka mradi wa makazi
Bepari siyo mtu mzuri ,wale kina biden walikuwaa wanatumia njia za diplomasia kuiba huyu trump anaiba wazi wazi kinguvu, na hiyo ndio plan ya marekani na cia siyo kwamba trump anajifanyia tu
 
Nenda youtube kasome na kutazama video inayosema "Interview with Alshababu"
itakuonesha maisha wanayoishi Alshababu katika kata waliyoiteka na kuishi wao wakiwa viongozi wa hiyo kata.
wanaishi kwa kufuata Qurani inavyo sema. Sawasawa na wanavyoishi BokoHaram
halafu uje unipe jibu humu.
Nimesha fatilia wote hao ni wapuuzi tu viongozi wao ndio wanajua wanakula maisha kwa namna gani ndio maana hata Osama tuliambiwa katupwa baharini , hii ni aina ya maigizo tu
 
Naona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Wakiuua wanasema allah akbar huku waki-quote verse za quran
 
Siku wakiingia hapa Tanzania hutosikia CHADEMA wala CCM. Hakutakuwa na kidumu chama wala peeples, zitatawala Allah Akbar kila kona.
Mwislamu anayeshabikia haya makundi ya kigaidi ni yule ambaye hajaisoma vizuri dini yake au kaisoma kupitia walimu ambao sio sahihi
( walimu fake ) badala ya kumuongoza wakampoteza.
Miaka ya 1998 kabla sijakutana na masheikh wanaofundisha uislamu sahihi niliwahi kuwashabikia Alqaida na Osama bin laden! Na hoja niliyokuwa nayo ni ile waliyonayo waislamu wengi ya kusema hao
( magaidi ) ni waislamu wenzetu kwahiyo hata kama wana makosa au wanapigana kwa njia ambazo sio sahihi ( kama kulipua mahospitali , mabenki, balozi, na sehemu nyingine zenye mikusanyiko ya watu wengi hali inayopelekea kuua watu wasio na hatua ) lakini yatakiwa tuwaunge mkono katika vita yao dhidi ya makafiri kwakuwa NI WAISLAMU WENZETU!.
Namshukuru Allaah Kisha nawashukuru mashekhe waliosimama kidete kiyapambanua na kuyaweka wazi haya makundi yanayochafua taswira njema ya dini ya kiislamu.
Moja ya masheikh waliosimama imara kuyapinga makundi ya kigaidi yanayochafua uislamu na kubainisha kwamba makundi haya vurugu zao haziunufaishi uislamu kwa chochote bali zinaudhoofisha uislamu ni sheikh Abul Fadhli Qaasim Mafuta msimamizi wa chuo cha IBNI TAIMIYYAH kilichopo katika mji mdogo wa Pongwe ndani ya jiji la Tanga.
 
Kwanini wasema allah akbar na sio jina lingine
Kwanini watumie verse za quran na sio kitabu kingine kama biblia
Hao ni waislamu wapotevu ambao aidha wameufahamu uislamu na Aya za Quran vibaya au wanayo nia ya makusudi ya kuchafua dini ya uislamu kwamba ni dini inayofundisha kuua watu wasio na hatia.
Masheikh wa kisalafi wameishazungumza sana kwenye madrasa, hotuba za ijumaa na semina mbalimbali kwamba makundi haya ya kigaidi yana madhara dhidi ya uislamu na waislamu zaidi kuliko yanavyowadhuru watu wa dini nyingine.
Na serikali za nchi za ulaya na America wanaendelea kutafadhili makundi haya kwa kuwa hao wamerekani wanafurahia namba uislamu unavyochafuliwa na makundi haya maovu.
 
Back
Top Bottom