Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Hii kauli ya "Ndoa ni Mwili mmoja" Kuna la kujifunza Kupitia hii mifano.
Hawa Ni waimbaji wa nyimbo za Injiri na walisema hayo Maneno.
Ikumbukwe wazi kua ndoa Nyingi za kikristo zinashida kutokana na hiyo kauli. Mwanamke Ni kiumbe Mwenye roho ya tofauti Kuliko viumbe Vyote Duniani.
Ndoa za kikristo zina shida Hapa kwenye mwili mmoja. Ingawa mi ni Mkristo Ila tutazame pia haya makanisa ya kilokole/ Makanisa Biashara, haya Makanisa yamekua Kama Wanawake yanatazama Faida ndomana ndoa zinazidi kuvunjika kila siku.
Pia haya Makanisa yamewatia Wanawake Tamaa zaidi, hakuna tena Upendo wa Dhati katika ndoa.
Pia haya Makanisa yana uzinzi/ Umalaya wa kimya kimya kwa kivuli Cha kusali au upendwa/Mpendwa tunasali Wote.
Hawa waimbaji au wanakwaya wanaongoza kwa migogoro:
1) Beatrice muhone
2) Rose Muhando
3) Bahati Bukuku
4) Martha Mwaipaja na sasa
5) Angel Bernad
6) Christina Shusho
7) Flora Mbasha.
8)...........
9).........
10).........
WALOKOLE: Mjifunze mnahubiri usafi na ndo wa kwanza kuvunja ndoa zenu.