Wakristo kuna la kujifunza kupitia ndoa hizi

Kabisa wanawake wanaingia kwenye ndoa kama status tu basi, wengine wanaolewa ili kuondoa nuksi ila maisha ya udangaji na uhuni yanaendelea kama kawaida sana sana hawa mabinti wenye 27 kwenda juu.
 
lipi
 
Hapo hakuna Mkatoliki hata mmoja. wote waprotestant
 
Nauliza Tman900 ndoa ya Beatrice Muhone ina shida gani? Mbona mnazushia watu mambo ya uongo

Kwa sababu nijuavyo mimi Beatrice Muhone na mume wake wanaishi poa tu kama wanandoa wengine na sijaona hayo unayomzushia
Na kama umemzushia Mhone ina maana ata hao wengine umewazushia.
 
Wahuni wachache wasifanye tikaharibu jina la uktisto, wengi wa hao hawana tofauti na bongo movie, wanatamani maisha ya starehe na udangaji huku wamejificha kwenye kivuli cha kumwimbia Mungu
 
Kabisa wanawake wanaingia kwenye ndoa kama status tu basi, wengine wanaolewa ili kuondoa nuksi ila maisha ya udangaji na uhuni yanaendelea kama kawaida sana sana hawa mabinti wenye 27 kwenda juu.
Wapo wengi mno sio hao tu wa 27+. Nilichobaini kwa ke walio wengi kadri umri unavyozidi kukua na tabia zinabadilika. Akiwa na 18 yrs ni tofauti kabisa akifikisha 25yrs.
 
Una uhakika hizo ndoa zilizovunjika zilikumbwa na hiyo hali ya uamsho?
Ukichunguza nyingi kati ya hizo ndoa zilizovunjika, Uzinzi ndio unahusishwa zaidi, sasa inakuwaje mtu apate uamsho wa ndani kiasi cha kumfanya tena kusaka ngono nje ya ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…