Historia ya taifa letu inatufundisha kuwa mapambano ya kudai haki yamekuwepo tangu enzi za ukoloni.
Hasa kipindi cha utawala wa Wajerumani, jamii za Wakristo walionekana kuwa mstari wa mbele katika kupinga dhuluma na ukandamizaji.
Wakiwa na misingi ya imani yao, waliamka na kusimama kidete kutetea utu ,Walipinga kazi za kulazimishwa, walikataa manyanyaso, nk.
Lakini pia, hata katika siku za karibuni, tumeona Wakristo wakiendeleza moyo huo wa ushujaa.
Wamesimama kidete kutaka haki itendeke kwenye masuala nyeti kama ya uchaguzi. Wameonyesha kuwa bado wanathamini misingi ya ukweli, uwazi na haki katika jamii.
Ndugu zetu Waislamu, kwa upande wao, huenda wakaonekana wako kimya katika masuala haya, yawezekana sio desturi yao tangu enzi na enzi hawajaonekana kua tafu kutetea haki .