Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

Suala la mahari na ukristo limekujaje sasa ,suala la mahari linategemea familia na mifumo ya kabila au jamii husika
 
Huo ni uzishi!
Issue kubwa hapo ni DINI
1. Muoaji alikuwa na "wachumba" wengi (zaidi ya mmoja) maana yake hakuwa mkristo kweli.
2. Angekuwa mkristo kweli angemuoa aliyekwisha kuzaa naye.
 
Atoe muongozo wa Mahari na aseme hipi bora", ndiyo nini unachokiandika hapa? Unajua ulichokiandika?. Wewe ni mwehu.
 
Nataka kusema ya kuwa muwe wakweli katika maneno yenu, kwamba hamna mafundisho ya ndoa kutoka kwa Yesu ndiyo chanzo cha migogoro hiyo kila mtu anaamua lake.
Nimekuuliza, ninakuuliza tena ulitaka kukuta kiwango cha mahari ndani ya biblia?.

Ukikonvet Denali mia 4 ya kipindi cha yesu kuja kwenye shiling, yuan, USd, Rand etc unapata kiasi gani?
 
Unataka nikujibu mara ngapi ? Nachotaka utuwekee mafundisho na muongozo wa Yesu juu ya mahari na ndoa. Yaani mafundisho ya Yesu yanasemaje juu ya mahari na yanasemaje juu ya Ndoa Kwa ujumla.
 
Atoe muongozo wa Mahari na aseme hipi bora", ndiyo nini unachokiandika hapa? Unajua ulichokiandika?. Wewe ni mwehu.
Mwehu hawezi kuandika kama navyoandika Mimi.

Nataka mtupe mafundisho ya Yesu kubusu mahari na ndoa. Ukiona ham a hayo mafundisho mjua hii dini si ya Mola ni dino ya kina Paulo walio waletea nyinyi msio fikiri na kuhoji.
 
Shida ni mila sio dini
 
Mwehu hawezi kuandika kama navyoandika Mimi.

Nataka mtupe mafundisho ya Yesu kubusu mahari na ndoa. Ukiona ham a hayo mafundisho mjua hii dini si ya Mola ni dino ya kina Paulo walio waletea nyinyi msio fikiri na kuhoji.
Unataka nikujibu mara ngapi ? Nachotaka utuwekee mafundisho na muongozo wa Yesu juu ya mahari na ndoa. Yaani mafundisho ya Yesu yanasemaje juu ya mahari na yanasemaje juu ya Ndoa Kwa ujumla.
Rudi kwenye comment yangu ya kwanza na kuna majibu yote ikiwa huoni majibu hilo ni tatizo Lalo.
Nb:, Ukikonvet dinali Mia 4 to shiling unapata shiling ngapi?.
 
sio ukristo bali mila na desturi za baadhi ya makabila zinavyo athiri ndoa za mabinti
 
Rudi kwenye comment yangu ya kwanza na kuna majibu yote ikiwa huoni majibu hilo ni tatizo Lalo.
Nb:, Ukikonvet dinali Mia 4 to shiling unapata shiling ngapi?.
Mpaka najiuliza kwanini hujibu swali langu ? Jibu swali nililo kuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…