Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

Hii ni jamii ya Uganda hatujui huenda ukioa wakwe hawana mamlaka kuomba msaada ndio maana hawataki ubakishe mahari
 
Kabisa tunazingua sana. Muhimu ni ndoa sio harusi.
Alafu sasa tulivyo maboya...tunatilia mkazo vitu ambavyo havina maana yoyote. Wazazi wasitilie mkazo kwa mabinti zao kutunza bikra zao wao wanakaribisha kujifungulia nyumbani. Mzazi huna aibu mtoto wako wa kike anatiwa mimba na kuja kujifungulia nyumbani kwako. Hovyo kabisa alafu unaanza leta madai ya ajabu kwenye mahari
Yani 15M ya UG ni sawa na 9M ya TZ halafu 4M ya UG ni sawa na 3M ya TZ.?
Ila sisi wakristo tunazingua sana upande wa ndoa na mazishi, mambo kibao knoma.
 

Mahari angalau iwe Tsh 500k to 2.5M

Mimi unitajie milioni 5 nitacheka Sana mwishowe nionekane sina adabuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Binadamu hana purchasing price
 
Mahari inashusha utu wa mwanamke na kumfanya awe sawa na ng'ombe anayenunuliwa.
 
Mwanaume uliyekamilika unaoje mwanamke ambaye tayari kashazalishwa? Hivi kweli na akili yako unaenda kuintroduce single maza kwa mzazi wako. Hapana jamani. Wanaume tuwaonee huruma mama zetu.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†. 5 million!!! Is it human trafficking???

Wakwe zangu hawezi sema hivyo Kwa jinsi nilivyojipambanua.
Bahati nzuri sinaga unafiki.

Alafu kingine sinaga Bargaining πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ukitaja kubwa Kama sina ndio tumemalizana.
Masuala ya kulialia kisa ujinga Mimi siwezi.
 
Yn hiyo ishu ya binti kujifungulia home siipendi knoma, kuliko demu wangu ajifungulie home n bora nisiwe nae kabisa tuu
 
Mahari angalau iwe Tsh 500k to 2.5M

Mimi unitajie milioni 5 nitacheka Sana mwishowe nionekane sina adabuπŸ˜‚πŸ˜‚
Ukishaanza ku negotiate maana yake umeikubali mahari ila unalia kwa umasikini wako wa kushindwa kulipa mahari fulani.

The entire concept of mahari is objectifying women.

Inawafanya wanawake wawe bidhaa inayouzwa kwa wanaume.

Sawa na ng'ombe

It should be scratched.
 
Wakwe zangu hawezi sema hivyo Kwa jinsi nilivyojipambanua.
Bahati nzuri sinaga unafiki.

Alafu kingine sinaga Bargaining πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ukitaja kubwa Kama sina ndio tumemalizana.
Masuala ya kulialia kisa ujinga Mimi siwezi.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
HAKUNA sehem ktk BIBLIA TAKATIFU imelazimisha mwanamke atolewe mahari... Watu mnachanganya tamaduni za kiafrika na ukristo, Wakristo wengi wanatumia tamaduni zao za makabila kupanga mahali kwa kuhusianisha na dini... Mahali ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke wake ambapo yanahusisha na wazazi wa mwanamke... Halafu vijana muache mbwembwe mnapoenda ukweni, huna maisha mazuri huna gari huna uwezo kifedha, ila cha kushangaza siku ya kwenda ukweni kujitambulisha Unaazima gari za rafik zako, unabeba zawadi nyingi, unajimwambafai unajiweka ki boss uonekanae una pesa πŸ˜…πŸ˜‚ ukiambiwa mahali Millions kadhaa unakuja kulialia mitandaoni... Mahali hupangwa kutokana na ulivyo jionyesha ukweni, ukienda kawaida wanajua upo serious ila ukienda kwa kujitutumua wanakufumia mamillion...
 

Mahari ni moja ya vitu wanawake hawajui vinavyowadhalilisha.

Alafu vinampa uhalali mwanaume kumchukulia Kama properties zake zingine.

Wazazi wengine hutaka mahari kubwa ili ujilizelize, uwe submissive kwao, utie huruma, πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi kiukweli siwezi hayo mambo ya Bargaining wakitaja kubwa wamekwisha. Sasa ni KAZI Yao kufikiria ni ipi mahari Standard.
 

Mkuu so unataka mtu aende ukweni amevaa ndala?

Hiyo kumpiga mkwe mtarajiwa mahari ya bei kubwa kwa sababu ya muonekano wake, ina tofauti gani na machinga kumtajia mnunuaji bei kubwa kwa sababu ya muonekano wa mnunuaji? Sio maadili hata kidogo.

Hiyo ya kusema mahari ni makubaliano Kati ya mwanamke na mwanaume ipo kwa waislamu tu hiyo mkuu. Wakristo hawanaga hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…