Kama huyo muoaji au mzazi wake wanatokana na single mother je ? Usafi na utakatifu upo wapi hapo wa kumnyanyapaa huyo single mother?Mwanaume uliyekamilika unaoje mwanamke ambaye tayari kashazalishwa? Hivi kweli na akili yako unaenda kuintroduce single maza kwa mzazi wako. Hapana jamani. Wanaume tuwaonee huruma mama zetu.
Mimi ni mkatoliki,mahari si pingamizi kwenye swala la ndoa.Unaweza kufunga ndoa bila mahari.Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.
Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa mwezi uliopita. Nilikuwa mmoja katika ujumbe uliyoongozana na rafiki yangu na matchmaker(mshenga) wake. Wakati wa kunegotiate mahari wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania(walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash).
Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda. Tutakomaa tana wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda. Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.
Hapo wakasema haipungui hata mia. Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari. Kumbuka hapo tumefikia hotelini. Basi tulipoenda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.
Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki(waganda hakunaga kubakiza mahari). Wakati hapa Tz kutokumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe, kwasababu kwanza, inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wamekutunuku binti yao ukaanzishe nae familia. Lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili.
Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine, yaani hauna mchumba mwingine?
Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu(mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative?!).
Kisha akamuuliza. Upo tayari kufunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari. Mshenga akajibu tunasubiri nini? Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.
Jamaa karudi Dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana, na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndiyo kwanza kamaliza form four(anaweza kuwa bado hajawa dis flowered).
Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine. Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.
Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena. Jifunzeni kwa waislamu, mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi. Kwanza karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndiyo akumbuke 'kumbe mimi fala hivi'.
NB: Kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana suala la ndoa. Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazifahamu saikolojia siasa za waoaji.
Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapofikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.
Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu.
Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!
Kuangalia kama ina complication😂😂😂Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.

Mbona mnamimbiliaga sana kwenye suala la je kama ni mzazi wako. Sasa kama mzazi nae alikuwa malaya kisa ni mzazi basi jambo haliwi baya tena? Tuache hivyo.Kama huyo muoaji au mzazi wake wanatokana na single mother je ? Usafi na utakatifu upo wapi hapo wa kumnyanyapaa huyo single mother?
Naunga mkono hoja.hata Mimi binamu yangu baada ya KUJIFUNGUA tu,wakwe wakaja kujitambulisha na kumaliza kila kitu.Sasa shangazi akataka mahari 3M.Kilichotokea Ni kwamba walitoa laki 3 tu,na wakasema mabinti wako wengi wazuri kuliko huyo binamu yangu kwa hiyo mama(shangazi)abaki na binti take.wao wanabeba Mtoto wao wanaenda kulea.Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.
Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa mwezi uliopita. Nilikuwa mmoja katika ujumbe uliyoongozana na rafiki yangu na matchmaker(mshenga) wake. Wakati wa kunegotiate mahari wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania(walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash).
Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda. Tutakomaa tana wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda. Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.
Hapo wakasema haipungui hata mia. Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari. Kumbuka hapo tumefikia hotelini. Basi tulipoenda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.
Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki(waganda hakunaga kubakiza mahari). Wakati hapa Tz kutokumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe, kwasababu kwanza, inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wamekutunuku binti yao ukaanzishe nae familia. Lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili.
Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine, yaani hauna mchumba mwingine?
Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu(mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative?!).
Kisha akamuuliza. Upo tayari kufunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari. Mshenga akajibu tunasubiri nini? Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.
Jamaa karudi Dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana, na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndiyo kwanza kamaliza form four(anaweza kuwa bado hajawa dis flowered).
Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine. Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.
Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena. Jifunzeni kwa waislamu, mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi. Kwanza karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndiyo akumbuke 'kumbe mimi fala hivi'.
NB: Kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana suala la ndoa. Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazifahamu saikolojia siasa za waoaji.
Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapofikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.
Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu.
Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!
Ahaa wapina wakaku
bali kulipa hiyo milion nne
Hapo nimekuelewa mkuu....unajua nimeshawahi shuhudia wakristo wameoana kanisani Tu na hakukuwa na sherehe wala nini na wanandoa wakaendelea na Maisha Yao....basi kuna haja kubwa ya kuliangalia Hilo swala kwani Lina waangusha Sana!Moja ya vitu vinavyosingiziwa ukristo ni swala la mahari.
Ukristo haupo specifically kuhusu insu ya mahari..ukristo ni mtu kumuacha Baba yake na Mama yake, swala mahari kiasi hiki ama kile ni tamaa za wakristo si ukristo.
MAELEZO YAKO YANAONYESHA WEWE NA RAFIK YAKO NA MPENZI WAKE MNA MATATIZO...Hii ni kwa waislamu sio wakristo. Jamaa hela anayo hana njaa. Usicho kifahamu ni kwamba ukiwa una shika hela unakuwa na.nidhamu ya kuitumia pesa yako. Hutumii pesa hovyo kwa sababu unayo.
Unaanzaje kumuigizia maisha mwanamke single mother mwenye miaka 37 ili umu win moyo wake?
Jamaa anasema alizungumza na mwanamke before kuhusu hicho unacho kisema mwanamke akamwambia yeye hana mamlaka kuhusu mahari .
Jamaa alimwambia mwanamke aongee na mama ake mama aongee na baba, apozewe kwenye mahari na point ya jamaa kwa mwanamke ni kwamba hiyo mahari hata ikiwa nyingi kiasi gani yeye mwanamke na mama ake hawawezi kupata chochote italiwa na baba wadogo/wakubwa etc.
Inawexekana hiyo mahari waliyo taja ndio wame mpunguzia labda kwa.sababu wamejua jamaa ana.pesa kwa sababu pesa anayo kweli.
Aisee ni heri mtu akuoneshe uhalisia wake. Akitaka kuondoka aondoke kwa amani. Hayo mambo yanataka hiyari ya moyo na sio minyororo!Mfumo wao hauthamini sana ndoa unampa mwanaume unafuu aoe wanawake wengine aoendavyo kwa mahari ndogo sana akiwa na elfu 20 aweza oa wake wanne na uislamu unampa mwanamke unafuu wa kuondoka muda wowote kwani alicholipiwa kama mahari ni kama nauli tu ya daladala aweza mrudishia hata kwa kumtupia usoni mwanaume Kuwa mahari ulliipa elfu tano shika elfu tano yako mbwa wewe nimepata mwanaume mwenye pesa mshenzi wewe.
Na mwanaume kuacha kitu kidogo tu after all haikumgharimu kuoa.Hasikii.uchungu wa kuacha mke.Alilipa mahari elfu tano haikuumi kumbwaga
Ukristo mwanamke kutoka ngumu akiwaza mahari aliyotolewa tu kichwa chake lazima kitulie na mwanaume kuacha mke ngumu akiwaza gharama za mahari alizotoa lazima atulie mwenyewe
😁😁😄😄😃😃😃😃😅😅😆😆😆🤣🤣😂😂😂😆😆😁😁Binti yako utamgawa bure?
hata hiyo ni hela nyingi aiseee....Ahaa wapi
Ilipigwa bargain ya kutosha wakafika 1.5milion.tena kwa mbinde .vikao vilianza saa 4 asubuhi wakaja kukubaliana saa 10 jioni
Hata kama ni alternative ndo uoe binti aliyemaliza form four??Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.
Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa mwezi uliopita. Nilikuwa mmoja katika ujumbe uliyoongozana na rafiki yangu na matchmaker(mshenga) wake. Wakati wa kunegotiate mahari wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania(walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash).
Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda. Tutakomaa tana wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda. Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.
Hapo wakasema haipungui hata mia. Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari. Kumbuka hapo tumefikia hotelini. Basi tulipoenda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.
Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki(waganda hakunaga kubakiza mahari). Wakati hapa Tz kutokumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe, kwasababu kwanza, inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wamekutunuku binti yao ukaanzishe nae familia. Lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili.
Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine, yaani hauna mchumba mwingine?
Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu(mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative?!).
Kisha akamuuliza. Upo tayari kufunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari. Mshenga akajibu tunasubiri nini? Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.
Jamaa karudi Dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana, na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndiyo kwanza kamaliza form four(anaweza kuwa bado hajawa dis flowered).
Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine. Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.
Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena. Jifunzeni kwa waislamu, mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi. Kwanza karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndiyo akumbuke 'kumbe mimi fala hivi'.
NB: Kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana suala la ndoa. Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazifahamu saikolojia siasa za waoaji.
Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapofikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.
Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu.
Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!
Basi hakuna Jambo zuri kama kumpita mkeo miaka kadhaa....Kwanza heshima inakuwepo kubwa Tu...na mwanaume unatakiwa uwe mkomavu zaidi kuliko mwanamke ili uweze kumhandle vizuriMi sijaona tatizo la mahari ila nimeona tatizo la Braza miaka 37 ukakavae kabint ka miaka 20 hapa wanaume ndio maana tunakufaga na presha.
Sio dunia ya Leo kuoa kabint ulikokapita miaka mingi.
Lazima katamsumbua tu.
Nakubaliana na wewe ktk swala la kuoa Imani tofauti...kutokana na mazingira yafuatayo...kama jamaa ameoa Tu Kwa ndoa ya kiislam kwakuwa haikuwa ghali..hapo kuna kosa kubwa kutoka Kwa wazazi WA binti...kwasababu ili uoe kiislamu lazima uwe muislamu,so kama kabakia na ukristo na kaoa Tu kiislamu hapo kuna tatizo...Ila kama muoaji kabadili Kwa hiari yake na kwakukusudia ni sawaSuala la mahari sio la ukristo ni la kifamilia au kitamaduni, umesema binti alikuwa wa Uganda. Maana yake huo ni utaratibu wao, na Tanzania bado familia au kabila nyingi zinafanana katika suala la mahari.
Kuoa au kuolewa na mtu wa imani tofauti sio suala la kujivunia sana, linaweza kuwaletea shida kiasi kwamba wakachukia ndoa yao.
Vizuri kuwa wazi, ilikuwa haina haja kudanganya, angeweka wazi pale pale kuwa hawezi ili ampe uhuru binti wa kufanya maamuzi.
Naunga mkono hoja .....mke wangu alitaka 500,000 Ila Mimi nikatoa 800,000Hata kama nitaamua labda nioe kitu ambacho ni impossible kwangu
Siwezi toa mahari zaidi ya laki tisa