Tuongeze juhudi ama naye hakamatikiHuyo mzee ulimtag kwa jina la Mohamed said ni tapel na anatafutwa na polisi
Huyu ni mzee mwenye kuijua sana Historia ya Tanganyika, bila shaka atakuwa anafahamu kwa kina mchango wa Kanisa ila labda hajautilia maanani, ni wakati umefika sasa aonyeshwe.Huyo mzee ulimtag kwa jina la Mohamed said ni tapel na anatafutwa na polisi
Wewe sio MTU wa kupost ishu kama hizi mkuu....Leo umekosea Sana ndugu yangu,Utatahiriwa bila ganzi na sheikh Mwaipopo.
Ukoloni haukuwahi kuwa changamoto kwa waafrika waliokiri Imani ya kweli ya Bwana Wetu Yesu Kristu. Kwa hiyo kwa kubatizwa kwao tayari walishapata uhuru wa kiimani.Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?
Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?
Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama sio yote imekuwa ikiegemea zaidi kwa Waislamu, sasa tunahitaji Historia ya Wakristo pia.
😅😅😅😅Huyo mzee ulimtag kwa jina la Mohamed said ni tapel na anatafutwa na polisi
Gentleman,Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?
Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?
Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama sio yote imekuwa ikiegemea zaidi kwa Waislamu, sasa tunahitaji Historia ya Wakristo pia.
Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?
Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?
Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama sio yote imekuwa ikiegemea zaidi kwa Waislamu, sasa tunahitaji Historia ya Wakristo pia.
Historia yote ya kina sana kuhusu uhuru ni ya Mohamed Said ila inahusika na mchango wa Waislamu zaidi..sasa hiyo si itakuwa kama kuleta mashindano kati ya dini hizo mbili?
..historia ya uhuru wa Tanganyika haipaswi kuandikwa kwa misingi ya kidini, bali kwa misingi ya utaifa, au uzalendo kwa Tanganyika.
..kwa kifupi ni kwamba maeneo mbalimbali ya Tanganyika yalishaanza kuwa na migogoro na wakoloni.
..maeneo hayo yaliundwa vyama vya kikabila, au kimaeneo, kukabiliana na wakoloni.
..Tanu ilikuja kuviunganisha vyama hivyo na kujenga mwamvuli wa kitaifa kudai uhuru wa Tanganyika nzima.
..kwa uelewa wangu, Machifu wote, au karibia wote, waliunga mkono madai ya uhuru wa Tanganyika kupitia Tanu.
Alishasema anaandika historia ya wazee wake wa Kiislam.Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?
Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?
Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama sio yote imekuwa ikiegemea zaidi kwa Waislamu, sasa tunahitaji Historia ya Wakristo pia.
Wakristo na kanisa wana akili nyingi wao waliwatumia waislamu kuleta uhuru baadae Nyerere kwa kugundua umbumbumbu wao akawafarakanisha akaivunja jumuiya ya waislamu ya Afrika Mashariki na kuwaundia BAKWATA kwa maslahi ya CCM.Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?