Wakristo na Kanisa walikuwa na mchango gani katika kuleta Uhuru Tanganyika?

Wakristo na Kanisa walikuwa na mchango gani katika kuleta Uhuru Tanganyika?

Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?

Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?

Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama sio yote imekuwa ikiegemea zaidi kwa Waislamu, sasa tunahitaji Historia ya Wakristo pia.
Wakiristo: JK Nyerere et al. Walidandia basi la waislamu la kudai uhuru kwa mbele.

Ndiyo maana sisi waisilamu tukipata u-Rais tunawajaza waisilamu wenzetu kulipiza kisasi cha kunyang'anywa tonge mdomoni.
 
Back
Top Bottom