Wakristo na Kanisa walikuwa na mchango gani katika kuleta Uhuru Tanganyika?

Tanganyika ilitafutwa na Waislam tu Wakristo wachache wenyewe pia walitafutwa na Waislam lengo kuwatanguliza mbele ili kuwadanganya Wazungu 👈

Wakristo wasasa wanatakiwa kufaamu ukweli huo👈

jamii ya Waislamu wamekuwa wavumilivu sana ktk kulinda mshikamano wetu👈

Umoja wetu👈

na Waislam hawana chuki kabisa na Wakristo 👈

ndio mana mnapangishwa nyumba mnauziwa nyumba viwanja nk.👈

Jiji la Dar es Sallam ni la Waislamu jana leo na kesho👈

Litabaki ivyo👈

ukitaka kujua aya👈

chunguza sikukuu za Kidini utaelewa Waislam ndio wenye Jiji lao 👈

usipate shida kutafuta takwimu za mezani✍️

Sawa tu na Shinyanga Mbeya kwao sikukuu zenye nguvu ni Xmas tu 👈

Sherehe za jamii kwenye miji zinaweza kukupa picha saii zaidi✍️

Migogoro yasasa inatokana na Wachungaji Wakristo wakutokea mikoani 👈

wenyewe wana chuki sana japo mjini wakuja tu👈

Chuki wamekuja nazo kutokea Bara awa ndio wenye kuwachukia Waislam wanatumia upole wa Waislam vibaya👈

jambo la hatari sana siku Waislam wakiungana kuwakataa wabaguzi wa Kikristo 👈

Waislam kwa kutokujua watawachanganya Wakristo wote kwenye kapu Moja✍️

Mwito kwetu wote Watanzania sisi tunaweza kuondosha hofu hii kwa kutenda yale yanayotuunganisha sio kututenganisha👈

Mtake msitake kumchukia RAIS Samia Suluhu Hassan ni kosa la kimkakati kutunza mshikamano wetu!!

Inaonekana tatizo ni Dini yake jambo la hatari zaidi hatari zaidi 👈

tofaut na kumpinga rip JPM japo Udini usingechipuka👈

Kama walivo Wakristo ni raisi kuwashawishi kwenye mambo ya Dini 👈

ndivyo ivyo pia raisi kuwashawishi Waislam kwenye mambo ya Dini✍️

Viongozi wa Dini tuiyone hatari hiii tuwaunganishe Watanzania
halaka✍️
 
Historia yote ya kina sana kuhusu uhuru ni ya Mohamed Said ila inahusika na mchango wa Waislamu zaidi
Inawezekana serikali ya kikoloni ilikandamiza zaidi waislamu ndio maana wengi wao waliunga mkono zaidi harakati za uhuru.

Kufanikisha hilo ilikuwa lazima watanganyika wote bila kujali dini kuungana.

Mohamed Said
 
1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia
7. Martin Kayamba
8. Dr. Vedasto Kyaruzi
9. Japhet Kirilo
10. Steven Mhando
11. Dennis Phombeah
12. Christopher Kasanga Tumbo
13. John Rupia

Hao ni baadhi.
Kumbe wako wengi sana
 
Ndio ukristo ulileta ukoloni kana mfumo mwingine wa kutawala, walipoona mfumo unafaili wakaomba kamba zilegezwe wakasema uhuru ila uhuru ni wa bendela na ndio huu tulionao leo. Tunashukuru kwa iko kidogo.
 
..Uhuru ulipiganiwa sehemu mbalimbali za Tanganyika, sio D'salaam peke yake.

..kuna wakati 2/3 [ theluthi mbili ] ya fedha za kuendesha chama cha Tanu ilikuwa inatoka KANDA YA ZIWA. Hizi habari ni kwa mujibu ya mwanahistoria John Illife.

..Historia ya kudai Uhuru inapaswa kuwekwa wazi zaidi.

..Kitendo cha kuifuta TANGANYIKA ktk muungano, kimepelekea pia kuifuta historia yake kila mahali.
Hivi Tanganyika ilizikwa au ilibatizwa na kuitwa Tanzania bara baada ya muungano?....

Ila historia halisi ya Tanganyika ni vyema ikawekwa wazi.

Nguruvi3 Pascal Mayalla
 
Tanganyika ilitafutwa na Waislam tu Wakristo wachache wenyewe pia walitafutwa na Waislam lengo kuwatanguliza mbele ili kuwadanganya Wazungu 👈

Wakristo wasasa wanatakiwa kufaamu ukweli huo👈

jamii ya Waislamu wamekuwa wavumilivu sana ktk kulinda mshikamano wetu👈

Umoja wetu👈

na Waislam hawana chuki kabisa na Wakristo 👈

ndio mana mnapangishwa nyumba mnauziwa nyumba viwanja nk.👈

Jiji la Dar es Sallam ni la Waislamu jana leo na kesho👈

Litabaki ivyo👈

ukitaka kujua aya👈

chunguza sikukuu za Kidini utaelewa Waislam ndio wenye Jiji lao 👈

usipate shida kutafuta takwimu za mezani✍️

Sawa tu na Shinyanga Mbeya kwao sikukuu zenye nguvu ni Xmas tu 👈

Sherehe za jamii kwenye miji zinaweza kukupa picha saii zaidi✍️

Migogoro yasasa inatokana na Wachungaji Wakristo wakutokea mikoani 👈

wenyewe wana chuki sana japo mjini wakuja tu👈

Chuki wamekuja nazo kutokea Bara awa ndio wenye kuwachukia Waislam wanatumia upole wa Waislam vibaya👈

jambo la hatari sana siku Waislam wakiungana kuwakataa wabaguzi wa Kikristo 👈

Waislam kwa kutokujua watawachanganya Wakristo wote kwenye kapu Moja✍️

Mwito kwetu wote Watanzania sisi tunaweza kuondosha hofu hii kwa kutenda yale yanayotuunganisha sio kututenganisha👈

Mtake msitake kumchukia RAIS Samia Suluhu Hassan ni kosa la kimkakati kutunza mshikamano wetu!!

Inaonekana tatizo ni Dini yake jambo la hatari zaidi hatari zaidi 👈

tofaut na kumpinga rip JPM japo Udini usingechipuka👈

Kama walivo Wakristo ni raisi kuwashawishi kwenye mambo ya Dini 👈

ndivyo ivyo pia raisi kuwashawishi Waislam kwenye mambo ya Dini✍️

Viongozi wa Dini tuiyone hatari hiii tuwaunganishe Watanzania
halaka✍️
Hapa wameshatajwa Wagalatia wazito takribani ishirini wengine hadi Waanzilishi wa chama cha TAA.
 
Kwa nini unafikiri Samia anachukiwa kwa Sababu ya Uislamu wake?

Waliompinga Magufuli, CHADEMA na kina Fatma Karume, Zitto, n.k ilikuwa kwa sababu ya Ukristo wake?
 
Tanganyika ilitafutwa na Waislam tu Wakristo wachache wenyewe pia walitafutwa na Waislam lengo kuwatanguliza mbele ili kuwadanganya Wazungu 👈

Wakristo wasasa wanatakiwa kufaamu ukweli huo👈

jamii ya Waislamu wamekuwa wavumilivu sana ktk kulinda mshikamano wetu👈

Umoja wetu👈

na Waislam hawana chuki kabisa na Wakristo 👈

ndio mana mnapangishwa nyumba mnauziwa nyumba viwanja nk.👈

Jiji la Dar es Sallam ni la Waislamu jana leo na kesho👈

Litabaki ivyo👈

ukitaka kujua aya👈

chunguza sikukuu za Kidini utaelewa Waislam ndio wenye Jiji lao 👈

usipate shida kutafuta takwimu za mezani✍️

Sawa tu na Shinyanga Mbeya kwao sikukuu zenye nguvu ni Xmas tu 👈

Sherehe za jamii kwenye miji zinaweza kukupa picha saii zaidi✍️

Migogoro yasasa inatokana na Wachungaji Wakristo wakutokea mikoani 👈

wenyewe wana chuki sana japo mjini wakuja tu👈

Chuki wamekuja nazo kutokea Bara awa ndio wenye kuwachukia Waislam wanatumia upole wa Waislam vibaya👈

jambo la hatari sana siku Waislam wakiungana kuwakataa wabaguzi wa Kikristo 👈

Waislam kwa kutokujua watawachanganya Wakristo wote kwenye kapu Moja✍️

Mwito kwetu wote Watanzania sisi tunaweza kuondosha hofu hii kwa kutenda yale yanayotuunganisha sio kututenganisha👈

Mtake msitake kumchukia RAIS Samia Suluhu Hassan ni kosa la kimkakati kutunza mshikamano wetu!!

Inaonekana tatizo ni Dini yake jambo la hatari zaidi hatari zaidi 👈

tofaut na kumpinga rip JPM japo Udini usingechipuka👈

Kama walivo Wakristo ni raisi kuwashawishi kwenye mambo ya Dini 👈

ndivyo ivyo pia raisi kuwashawishi Waislam kwenye mambo ya Dini✍️

Viongozi wa Dini tuiyone hatari hiii tuwaunganishe Watanzania
halaka✍️
Akili za Kihaji Manara hizi, aliyesema.Waarabu ndio waliojenga bandari ya Dar es Salaam na hivyo kupewa hakuna shida.

Watu wa Mbeya ambao hawana bandari hawatakiwi kuhoji.

Mmekunywa Gahawa chungu, mpaka mnadhani Tanganyika ni Mzizima peke yake.
 
Harakati za Uhuru ni endelevu sambamba na uwepo wa vizazi vya mwanadamu.
Uhuru huendelezwa hulindwa na kupiganiwa siku zote.
Ni ujinga kufikiri kwamba Uhuru wa tarehe 9 December 1961 ndiyo mwisho. Fikra hizo ndizo zinazoelekea kurudisha taifa (watu/wananchi) utumwani.
Ni lazima tufundishe watoto wetu kupambana kwa akili dhidi ya mataifa mengine kujilinda, kujiendeleza na kudumisha Uhuru.
Haya mambo yafanyike kivitendo zaidi bila kujali dini, kabila au jinsia.
Serikali lazima iweke sera na mafunzo mahususi kwa wananchi, ikihakikisha hawagawanyiki vyovyote vile.
 
1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia
7. Martin Kayamba
8. Dr. Vedasto Kyaruzi
9. Japhet Kirilo
10. Steven Mhando
11. Dennis Phombeah
12. Christopher Kasanga Tumbo
13. John Rupia

Hao ni baadhi.
Mwenyekiti wa kwanza wa TAA alikuwa mgalatia Cecil Matola.

Tally unaendelea
1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia
7. Martin Kayamba
8. Dr. Vedasto Kyaruzi
9. Japhet Kirilo
10. Steven Mhando
11. Dennis Phombeah
12. Christopher Kasanga Tumbo
13. John Rupia
14. Cecil Matola
15. Joseph Kasella Bantu
16. Geremano Pacha
17. Joseph Kimalando
18. Lameck Bugohe Makaranga
19. Patrick Kunambi
20. Constantine Oswald Milinga
21. Kisung'uta Gabala (sina hakika na imani yake)
 
..wamisionari wa Maryknoll walikuwa wakimsaidia Nyerere wakati wa harakati za kudai uhuru.

..hata alipokuwa akienda New York / UNO wamisionari hao ndio waliokuwa wakimfadhili.

..Wakatoliki waliunga mkono harakati za uhuru dhidi ya Waingereza ambao ni Kanisa Anglikana.

..Tatizo ni kwamba Wakatoliki hutawasikia wakiandika mchango wao ktk namna ya kuzodoa madhehebu mengine.
Na wakati hana kazi walikuwa wanampa vikazi visivyo rasmi ili apate pesa za kujikimu. Ndani ya Kanisa Katoliki kulikuwa na mapadri na masista wengi waliokuwa waumini wa liberation theology. Hawa waliona ni wajibu wao kupambana na aina zote za ukandamizaji.

Amandla...
 
Tally unaendelea
1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia
7. Martin Kayamba
8. Dr. Vedasto Kyaruzi
9. Japhet Kirilo
10. Steven Mhando
11. Dennis Phombeah
12. Christopher Kasanga Tumbo
13. John Rupia
14. Cecil Matola
15. Joseph Kasella Bantu
16. Geremano Pacha
17. Joseph Kimalando
18. Lameck Bugohe Makaranga
19. Patrick Kunambi
20. Constantine Oswald Milinga
21. Kisung'uta Gabala (sina hakika na imani yake)
Teh teh 😃 😃 hizi tally za nini tena zama hizi?.

Tanzania na Africa bado hazijawa na uhuru kamili kwa hiyo mapambano ya uhuru bado yanaendelea mpaka Leo.
 
Tally unaendelea
1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia
7. Martin Kayamba
8. Dr. Vedasto Kyaruzi
9. Japhet Kirilo
10. Steven Mhando
11. Dennis Phombeah
12. Christopher Kasanga Tumbo
13. John Rupia
14. Cecil Matola
15. Joseph Kasella Bantu
16. Geremano Pacha
17. Joseph Kimalando
18. Lameck Bugohe Makaranga
19. Patrick Kunambi
20. Constantine Oswald Milinga
21. Kisung'uta Gabala (sina hakika na imani yake)
22. Rawson Watts
23. Raikes Kusi
 
Nilikuwa najaribu kuwa cynical. Christopher Kasanga Tumbo alikuwa mgalatia.

Amandla...
Watu wa Pwani kupitia TAA na baadae TANU wana mchango mkubwa kwenye zile harakati...(Japo Watanganyika wa mahali pengine pia walishiriki).

Usisahau ni wao (Wazee wa Dar es salaam )walimpokea Mwl.Nyerere kumpa Uenyekiti wa TAA baadae TANU Kisha kumshinikiza aache Ualimu kule Pugu na wao kumlipa kwa pesa zao.
 
Hawa wakina Rawson Watts na Raikes Kusi walikuwa ni kutokea wapi Tanganyika ? Familia zao ziko wapi leo hii?
Watendee haki wazee wetu wote kwa kuleta historia jumuishi iliyonyooka mzee Mohamed Said
 
Watu wa Pwani kupitia TAA na baadae TANU wana mchango mkubwa kwenye zile harakati...(Japo Watanganyika wa mahali pengine pia walishiriki).

Usisahau ni wao (Wazee wa Dar es salaam )walimpokea Mwl.Nyerere kumpa Uenyekiti wa TAA baadae TANU Kisha kumshinikiza aache Ualimu kule Pugu na wao kumlipa kwa pesa zao.
Watu wa Pwani unamaanisha Waislamu au pamoja na hao Wagalatia wote waliokuwa wenyeviti na marais wa TAA na TANU??
 
Back
Top Bottom