Wakristo na Kanisa walikuwa na mchango gani katika kuleta Uhuru Tanganyika?

Wakristo na Kanisa walikuwa na mchango gani katika kuleta Uhuru Tanganyika?

Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?

Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?

Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama sio yote imekuwa ikiegemea zaidi kwa Waislamu, sasa tunahitaji Historia ya Wakristo pia.

Wapi walikuwa wanatumiwa kama wapelelezi wa mkoloni !!

Wazee wa Kikristo walikuwa wanaachama midomo waaaa kulishwa sandwich 🥪 na ma Padre wa Kizungu 👈

wakaona maisha wameyapatia 🤠👈

leo Wakristo wanajiona eti ndio wenye haki zaidi ya Waislam

waliopambania uhuru ni Waislam kwa %100 Mwalimu Nyerere mwenyewe kakiri ✍️
 
Kama Mwalimu Nyerere mwenyewe kakiri jinsi Waislam walivosimama kudai uhuru kumfukuza Mzungu

nani tena wakutudanganya mchango wa Wakristo!!!!

Wengi wa Wakristo walikuwa wanatumika kupeleleza kwa faida ya mkoloni 👈

walikuwa wanapinga kufukuzwa Wazungu 👈

Kudai uhuru kwao ilikuwa ni kumpinga YESU 🤠
walikuwa mazuzuzu sana👈

Washamba shamba na MOKA zao🤠
 
Hakuna mchango wowote walioleta kwenye kudai uhuru
Hao ndio kwanza walikuwa wanataka wakoloni waendelee ili wazidi kupata misaada
Na kuna ushahidi kadhaa wa kuuza nyaraka kwa wazungu wakati vyama vya wafanyakazi vilipokuwa vinapanga migomo katika harakati za kudai uhuru
 
Walikua madalali wa wazungu na waislamu wakawa madalali wa waarabu katika kuwauza ndugu zao
 
Baada kuona Mada mbayaaa
kwenu 👈

Endeleeni kumpinga Rais kisa Muislamu tutafika safari
muda si mrefu 👈
Kumbe uislam unaruhusu kuteka na kuua raia? kama ndivyo basi wacha apingwe kwa nguvu zote, hafai ni muuaji, nansijawahi kusikia wanao mpinga wakiitaja dini ila huwa nasikia wakikemea utekaji na uuaji, baada ya kushindwa kujibu na kuitetea hoja ya utekaji na uuaji ndio mme buni mbinu ya udini nguruwe kabisa nyie waislam.
 
Vitu vingine havihitaji hata maelezo.
Nakuwekea picha ya Masister wakimsindikiza JUKANYE.
Wewe mbung'o wa malale sio unang'ong'a ng'ong'a kama nzi mavi wa chooni
Weka hao masista wakiwa wamevaa hijab tuwaone
Bibi zangu walichangia nauli na walimsindikiza nyerere kupanda ndege kwenda UN


1782504906054.png
 
Hakuna mchango wowote walioleta kwenye kudai uhuru
Hao ndio kwanza walikuwa wanataka wakoloni waendelee ili wazidi kupata misaada
Na kuna ushahidi kadhaa wa kuuza nyaraka kwa wazungu wakati vyama vya wafanyakazi vilipokuwa vinapanga migomo katika harakati za kudai uhuru
Christopher Kasanga Tumbo alikuwa muislamu?

Amandla...
 
Ninachojua jambo likifanywa Wakristo huwa la Watanzania wote.

Hizi habari za fulani ndio walipaginia Uhuru aachiwe Mzee Mudi.

UBINAFSI.
 
Ni jambo linaloelwweka kwamba Wakoloni kwanza walikuja kama Explorers ili kuwaelewa Waafrika. Baadaye wakawaleta Wamisionari ili kuwabatiza Waafrika na kuwaandaa kama wasaidizi wao katika utawala wao.

Baadae wakarudi kama Wakoloni wakowatumia Wakristu kama wasaidizi wao; wakiwapa elimu, nafasi za kazi na upendeleo wa aina mbalimbali. Kwa Wakristu, ukoloni haukuwa tatizo, bali ni rehema kwao. Kwa hiyo, hawakuwa na sababu yoyote ya kupigania uhuru kwani walikuwa wanafaidika na Ukoloni kwa kiasi kikubwa.

Kwa upande wa Waislamu, Ukoloni ulikuwa jambo baya sana kwao. Ilibidi kubadilisha dini au jina ili kupata elimu, vigumu kupata kazi nzuri na kadhalika. Njia pekee ilikuwa ni kugombea Uhuru. Angalia walioanzisha TANU, n. K.
 
Wakristu na waislamu walichangia kwa kiasi kikubwa sana kuwezesha uhuru wa Tanganyika na mataifa mengine
1.Walijitolea chakula kwa wapigania uhuru na wakimbizi
2.Walitoa elimu kupitia Taasisi zao
3.Walitoa huduma za afya kwa wapigania uhuru
4.Walitoa hifadhi na kuwaficha wapigania uhuru
5.Mwenge wa uhuru uliwaunganisha watu wote bila kujali ukabila,udini wala ukanda

I stand to be corrected
 
1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia

Hao ni baadhi ya makafiri heavyweights kwenye uhuru wa Tanganyika. Ni kwa sababu uhuru ulipiganiwa mji mkuu wenye bandari, airport, makao makuu ya serikali ya kikoloni na all major means of production, businesses and service provision. Ndio maana majina ya Sunna yanasomeka kwa wingi.

Ukanda wa Pwani wakazi wengi miaka hiyo ni Waislamu wa makabila kama hawa Wazaramo kabla hawajaanza kuuza ardhi kutoka Msasani peninsula na Oysterbay huku wakikimbilia Mpiji Magohe. Na wanunuaji wengi walikuwa ni wamsalabani, maana hawakuwa na ardhi ya kurithi Pwani. Ndipo mchanganyiko wa imani ukawa mkubwa.

..Uhuru ulipiganiwa sehemu mbalimbali za Tanganyika, sio D'salaam peke yake.

..kuna wakati 2/3 [ theluthi mbili ] ya fedha za kuendesha chama cha Tanu ilikuwa inatoka KANDA YA ZIWA. Hizi habari ni kwa mujibu ya mwanahistoria John Illife.

..Historia ya kudai Uhuru inapaswa kuwekwa wazi zaidi.

..Kitendo cha kuifuta TANGANYIKA ktk muungano, kimepelekea pia kuifuta historia yake kila mahali.
 
Back
Top Bottom