Wakristo na Waislam pendaneni kwani ni ndugu na lenu ni moja

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu.

Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana.
Nitatoa mfananisho:
Mosi, wote wametokea Mashariki ya Kati.

Pili, wote wanaamini katika ngano zao ambazo wamejitahidi kuzieneza dunia nzima kwa kisingizio kuwa zilltoka kwa Mungu.
Tatu, wote ni washirikina. Mfano, wakristo wanatumia msalaba na waislamu wanatumia nyota na mwazi.

Nne, wote wanapenda kutukuza wale wanaodaiwa kuwa waanzilishi wa dini zao yaani Yesu na Muhammad ambao wanawaabudi kinamna.
Tano, wanatumia kitabu kimoja ambapo wakristo walianzisha biblia waislamu wakaidukua.
Sita, wote ngano yao na kufikirika ya kuumbika kwa dunia na Adam ni moja.
Saba, wote, walisaidia katika kueneza utumwa na ukoloni kwa Afrika.

Nane, wote ni waathirika wa utumwa wa kiakili.
Baba yenu naomba niwasilishe.
 
Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana.

in fact,
bila kujali dini, rangi au makabila yetu au mirengo ya kisiasa,

kama taifa,
nadhani inafaa zaidi kuishi kwa kuheshimiana na kupendana kama watoto wa baba na mama moja Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
 
Kaa mbali na Dini yoyote inayochochea ubaguzi na chuki. Dini ya namna hiyo ni ya kishetani inayotenda kazi kupitia Wanadamu
 
Kimsingi, dini zote ni za kishetani zinazojifanya kuwa za Mungu. Chukulia mfano kula nyama na kunywa damu ya mtu au kupiga mawe shetani na mengine mengi kama hayo.
 
in fact,
bila kujali dini, rangi au makabila yetu au mirengo ya kisiasa,

kama taifa,
nadhani inafaa zaidi kuishi kwa kuheshimiana na kupendana kama watoto wa baba na mama moja Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Umeandika vizuri sana mwanangu. Kongole.
 
Kimsingi, dini zote ni za kishetani zinazojifanya kuwa za Mungu. Chukulia mfano kula nyama na kunywa damu ya mtu au kupiga mawe shetani na mengine mengi kama hayo.
Kuna dini inakula watu?

Halafu dini ya kumpiga shetani inakuwaje ya shetani
 
Maisha yangu chaguo langu.
Bora mimi sihangaiki na dini za watu na sitaki kulazimishwa dini ya mtu.
 
Imani ni bora kuliko DINI.

Watu wa dini wamezidiwa upendo hata na wasioamini.

Ila sisi wa dini kazi kuitana Kafir, mara Kobazi. Kijana akitaka kuoa au kuolewa na wa imani tofauti anaweza akatengwa na ukoo mzima na wengine wanaua kabisa.

Ila hizi mbanga huwezi kuzikuta kwa wasioamini, wao ni rafiki wa kila mtu, hawabagui hawachagui.

Ipende DINI yako ila kataa Ulevi wa dini.
Kama dini yako inakufundisha kumchukia jirani yako kwa sababu sio wa dini yako, KATAA. Kataa kuwa Mtumwa wa dini.

MUNGU NI MUNGU na Dini ni project ya wanadamu katika kumtafuta Mungu.

Kama Wanadamu hawajakamilika kwanini walichokiunda kisikamilike kisiwe na mapungufu?
 
Kwani kuna imani bila dini na kipi kilianza au nini tofauti ya viwili hivi.
 
Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana.
Nitatoa mfananisho:
Mosi, wote wametokea Mashariki ya Kati.
Pili, wote wanaamini katika ngano zao ambazo wamejitahidi kuzieneza dunia nzima kwa kisingizio kuwa zilltoka kwa Mungu.
Tatu, wote ni washirikina. Mfano, wakristo wanatumia msalaba na waislamu wanatumia nyota na mwazi.
Nne, wote wanapenda kutukuza wale wanaodaiwa kuwa waanzilishi wa dini zao yaani Yesu na Muhammad ambao wanawaabudi kinamna.
Tano, wanatumia kitabu kimoja ambapo wakristo walianzisha biblia waislamu wakaidukua.
Sita, wote ngano yao na kufikirika ya kuumbika kwa dunia na Adam ni moja.
Saba, wote, walisaidia katika kueneza utumwa na ukoloni kwa Afrika.
Nane, wote ni waathirika wa utumwa wa kiakili.
Baba yenu naomba niwasilishe.
Wapendane au waishi kwa pamoja tu ila watumie vema akili zao?
 
Huku kwenye grassroot Tanzania Udini haupo.
Mimi siuoni..Hatujafika huko.
Udini unaanza pale tu kama kuna agenda ya kisiasa behind kwa mfano.

Unimponda au kumsema vibaya Samatta au Ally Kiba, au ukimdhihaki Wema Sepetu kwa kujiharibu sura
Shida haipo...We ponda, ikiwezekana tukana kabisa uwezavyo, wala hutasikia makasiriko yeyote....
Ukisema Mwamnyeto ni beki wa ovyo, hafai kuitwa timu ya Taifa afadhali nafasi yake aitwe Lameck Lawi hilo nalo halina shida.
Lakini ukimu-attack Saada Mkuya, Maria Ditopile au Abdallah Urega (wanasiasa)kwa lugha ileile Wewe tayari ni mdini hapohapo.

Rais Samia akikosolewa na hata muda mwingine kutukanwa na mkenya.
Huyo mkenya hataitwa mdini..
Lakini Rais Samia huyohuyo akikosolewa na mtanzania mkristo ataambiwa " pelekeni udini wenu huko shenzi"

Ukitaka kuamini hili nenda social media yeyote chunguza comments zote zinazomtukana na kumshambulia Heche (mfano), au yeyote mkristo angalia majina ya wanaopost.
Lakini content hiyohiyo ya Heche ingezungumzwa na Marehemu Bwege au Prof Mussa Assad.
Hutaona matusi ya waislamu wenzao japo wote wamesema jambo lilelile.
 
Mmeanzishiwa nyuzi ya Udini Udini ili muanze malumbano ya kidini kidini 🤣

Dah! Father of all ni kiboko yao. 🤣
Ngoja Tusubiri tuone 😳 ! 🤣
 
Back
Top Bottom