Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu.
Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana.
Nitatoa mfananisho:
Mosi, wote wametokea Mashariki ya Kati.
Pili, wote wanaamini katika ngano zao ambazo wamejitahidi kuzieneza dunia nzima kwa kisingizio kuwa zilltoka kwa Mungu.
Tatu, wote ni washirikina. Mfano, wakristo wanatumia msalaba na waislamu wanatumia nyota na mwazi.
Nne, wote wanapenda kutukuza wale wanaodaiwa kuwa waanzilishi wa dini zao yaani Yesu na Muhammad ambao wanawaabudi kinamna.
Tano, wanatumia kitabu kimoja ambapo wakristo walianzisha biblia waislamu wakaidukua.
Sita, wote ngano yao na kufikirika ya kuumbika kwa dunia na Adam ni moja.
Saba, wote, walisaidia katika kueneza utumwa na ukoloni kwa Afrika.
Nane, wote ni waathirika wa utumwa wa kiakili.
Baba yenu naomba niwasilishe.