Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
in fact,Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana.
Nitatoa mfananisho:
Mosi, wote wametokea Mashariki ya Kati.
Pili, wote wanaamini katika ngano zao ambazo wamejitahidi kuzieneza dunia nzima kwa kisingizio kuwa zilltoka kwa Mungu.
Tatu, wote ni washirikina. Mfano, wakristo wanatumia msalaba na waislamu wanatumia nyota na mwazi.
Nne, wote wanapenda kutukuza wale wanaodaiwa kuwa waanzilishi wa dini zao yaani Yesu na Muhammad ambao wanawaabudi kinamna.
Tano, wanatumia kitabu kimoja ambapo wakristo walianzisha biblia waislamu wakaidukua.
Sita, wote ngano yao na kufikirika ya kuumbika kwa dunia na Adam ni moja.
Saba, wote, walisaidia katika kueneza utumwa na ukoloni kwa Afrika.
Nane, wote ni waathirika wa utumwa wa kiakili.
Baba yenu naomba niwasilishe.
Kaa mbali na Dini yoyote inayochochea ubaguzi na chuki. Dini ya namna hiyo ni ya kishetani inayotenda kazi kupitia WanadamuHuwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana.
Nitatoa mfananisho:
Mosi, wote wametokea Mashariki ya Kati.
Pili, wote wanaamini katika ngano zao ambazo wamejitahidi kuzieneza dunia nzima kwa kisingizio kuwa zilltoka kwa Mungu.
Tatu, wote ni washirikina. Mfano, wakristo wanatumia msalaba na waislamu wanatumia nyota na mwazi.
Nne, wote wanapenda kutukuza wale wanaodaiwa kuwa waanzilishi wa dini zao yaani Yesu na Muhammad ambao wanawaabudi kinamna.
Tano, wanatumia kitabu kimoja ambapo wakristo walianzisha biblia waislamu wakaidukua.
Sita, wote ngano yao na kufikirika ya kuumbika kwa dunia na Adam ni moja.
Saba, wote, walisaidia katika kueneza utumwa na ukoloni kwa Afrika.
Nane, wote ni waathirika wa utumwa wa kiakili.
Baba yenu naomba niwasilishe.
Kimsingi, dini zote ni za kishetani zinazojifanya kuwa za Mungu. Chukulia mfano kula nyama na kunywa damu ya mtu au kupiga mawe shetani na mengine mengi kama hayo.Kaa mbali na Dini yoyote inayochochea ubaguzi na chuki. Dini ya namna hiyo ni ya kishetani inayotenda kazi kupitia Wanadamu
Umeandika vizuri sana mwanangu. Kongole.in fact,
bila kujali dini, rangi au makabila yetu au mirengo ya kisiasa,
kama taifa,
nadhani inafaa zaidi kuishi kwa kuheshimiana na kupendana kama watoto wa baba na mama moja Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania 🐒
👊Umeandika vizuri sana mwanangu. Kongole.
Kuna dini inakula watu?Kimsingi, dini zote ni za kishetani zinazojifanya kuwa za Mungu. Chukulia mfano kula nyama na kunywa damu ya mtu au kupiga mawe shetani na mengine mengi kama hayo.
Kufanya nini?waislamu wanatumia nyota na mwazi.
Kuwanga. Kwani, hujui!!Kufanya nini?
Kufanya nini?
UongoKuwanga. Kwani, hujui!!
Wewe unaniwekea content za nini mimi si umpelekee Niffer
Muongo mwenyeweUongo
Kwani kuna imani bila dini na kipi kilianza au nini tofauti ya viwili hivi.Imani ni bora kuliko DINI.
Watu wa dini wamezidiwa upendo hata na wasioamini.
Ila sisi wa dini kazi kuitana Kafir, mara Kobazi. Kijana akitaka kuoa au kuolewa na wa imani tofauti anaweza akatengwa na ukoo mzima na wengine wanaua kabisa.
Ila hizi mbanga huwezi kuzikuta kwa wasioamini, wao ni rafiki wa kila mtu, hawabagui hawachagui.
Ipende DINI yako ila kataa Ulevi wa dini.
Kama dini yako inakufundisha kumchukia jirani yako kwa sababu sio wa dini yako, KATAA. Kataa kuwa Mtumwa wa dini.
MUNGU NI MUNGU na Dini ni project ya wanadamu katika kumtafuta Mungu.
Kama Wanadamu hawajakamilika kwanini walichokiunda kisikamilike kisiwe na mapungufu?
Wapendane au waishi kwa pamoja tu ila watumie vema akili zao?Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana.