Wakristo, nyamazeni kimya! Kwa nini mnalialia?

Hapana Nanye Go sio unyonge wala ujinga. Wanatii agizo la Yesu:
Warumi 12:17-19
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote. Ikiwezekana, kwa upande wenu, mkae katika amani na watu wote. Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
Kwa mtindo huu si watamalizwa? Maana wanauwawa kwa maelfu.

Nina rafiki Mnigeria kila mara anapost kwenye status ya whatsapp yake , huwa nachokakabisa.

Mpaka lini ndio waweze kujibu?
 
Kwa mtindo huu si watamalizwa? Maana wanauwawa kwa maelfu.
Wakimalizwa, watakuwa wamemalizwa kimwili tu. Maana kila anayekufa katika Kristo bado anaishi. Na siku Yesu atakaporudi, atawafufua wote waliokufa katika Kristo, kisha watanyakuliwa kwenda mbinguni pamoja na watakatifu watakaokuwa hai.

Yohana 11:25-26
“Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima; yeye aniaminiye mimi ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.”

1 Wathesalonike 4:16-17
“Kwa kuwa Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.”

Mathayo 10:28
“Msiwaogope wauao mwili, wasioweza kuua roho; bali mwogopeni yeye awezaye kuiangamiza roho na mwili katika jehanum.”
 
Nahisi hujasoma andiko hili:
Yn 16:2
"...Naam, saa yaja ambayo mtu yeyote atakayewaua atadhani kwa kufanya hivyo anamtumikia Mungu."

Ni rahisi sana kusoma maandiko lakini yakikukuta ndio utajua ilivyo mtihani.
Kuna siku waislamu waliteka bus na kuanza kuhoji abiria mmoja baada ya mwingine, ukiwa Mkristo unachinjwa na kukatwa kichwa, hii ilitokea Kenya.
 
Nyakati hizi, karibu kila mahali duniani, Shetani anaushambulia Ukristo kwa njia mbalimbali. Anatumia mapepo, watu na mitazamo ya kijamii ili kuupiga vita ujumbe wa Yesu Kristo. Yanayoendelea kule Nigeria ni mfano tosha. Mashambulizi haya ni vita vya kiroho vyenye lengo la kuwakatisha tamaa na kuwarudisha gizani Wakristo waliopata zawadi ya wokovu aliouleta Yesu duniani.

Shetani ndiye adui mkuu wa Wakristo. Ukristo unatangaza ukweli kwamba wokovu unapatikana kwa njia ya Yesu Kristo. Jambo hili linamkera Shetani, kwa sababu hataki watu waokoke na kwenda mbinguni. Furaha yake ni kuona watu wanaenda motoni.

Kwa hiyo, Wakristo, shetani akiwapiga vita, akiwaletea mateso kama ya Ayubu, akiwachukia kwa sababu mnaishi nuruni na tiketi ya kwenda mbinguni mnayo, msilielie. Badala yake furahini kama Petro na Mitume wenzake. Walichapwa viboko kwa ajili ya Kristo na kuonywa wasifundishe tena kwa jina la Yesu! Walivyoachiliwa, walitoka wakiwa wamejaa furaha, kwa sababu walistahili kuaibishwa kwa ajili ya jina la Yesu(Mdo 5:40-41).

Hivyo kama umeokoka. Kama unaishi maisha matakatifu, tambua shetani atakushambulia tu kwa namna moja au nyingine. Akiwatumia watu kukupiga vita, usiwaombee mabaya, usiwalaumu, usiwakasirikie, usiwalaani na kamwe usinyooshe mkono wako kushindana nao.

Kumbuka wanatumiwa tu na shetani. Wasamehe bure kama Yesu alivyowasamehe waliomsulibisha, maana hawajui walitendalo. Kumbuka maneno ya Paulo kwamba hatupaswi kushindana na wanadamu. Vita vyetu ni vya kiroho, dhidi ya shetani na mapepo yake(Efe 6:12).
Waafrika wafia dini ni watu wa hajabu sana, wanapenda kujikaririsha vitu visivyo na kichwa wala miguu ili mradi tu kasikia toka kwa Mkoloni (mzungu ama Mwarab) basi yeye anaamini kuwa ni ukweli. Mimi toka nimachana na hizi dini za maboti Shetani hajawahi kunisumbua wala kumsikia maishani mwangu tena. Shetani anatamba tu kwa wale wanaoamini hizi dini za kuletewa.
 
Mtu akiamua kuwa mfuasi wa Shetani ni wazi shetani hawezi kumsumbua tena. Si ameishamezwa? Hilo linaeleweka.
1 Petro 5:8
“Mwe na kiasi, na kukesha; kwa maana adui yenu, Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka akitafuta mtu ammeze.”
 
“Alidhulumiwa, aliteswa, lakini hakufumbua kinywa chake; kama mwanakondoo apelekwaye machinjoni…”(Isaya 53:7)

Na sisi tunaomfuata Yesu tumeitwa kufuata nyayo zake...

“Kwa maana ninyi mliitwa kwa ajili hii; kwa kuwa Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akawaachia kielelezo, ili mfuate nyayo zake.” ( 1 Petro 2:21)
Saa 9 usiku uko macho unamridhisha mumeo saa ngapi ..au singo? Ndio nyie ni religion freaks Hadi mna miaka 40 hamjaolewa mkija kushtuka ndio mnataka hata wanaopumua tu, pumbavu , saa 9 mwanamke uko macho hautombwi vizuri wewe..hakuna mwanamke yuko macho saa 9 usiku kwenye mitandao anatombwa ipasavyo..🚮
 
Nyakati hizi, karibu kila mahali duniani, Shetani anaushambulia Ukristo kwa njia mbalimbali. Anatumia mapepo, watu na mitazamo ya kijamii ili kuupiga vita ujumbe wa Yesu Kristo. Yanayoendelea kule Nigeria ni mfano tosha. Mashambulizi haya ni vita vya kiroho vyenye lengo la kuwakatisha tamaa na kuwarudisha gizani Wakristo waliopata zawadi ya wokovu aliouleta Yesu duniani.

Shetani ndiye adui mkuu wa Wakristo. Ukristo unatangaza ukweli kwamba wokovu unapatikana kwa njia ya Yesu Kristo. Jambo hili linamkera Shetani, kwa sababu hataki watu waokoke na kwenda mbinguni. Furaha yake ni kuona watu wanaenda motoni.

Kwa hiyo, Wakristo, shetani akiwapiga vita, akiwaletea mateso kama ya Ayubu, akiwachukia kwa sababu mnaishi nuruni na tiketi ya kwenda mbinguni mnayo, msilielie. Badala yake furahini kama Petro na Mitume wenzake. Walichapwa viboko kwa ajili ya Kristo na kuonywa wasifundishe tena kwa jina la Yesu! Walivyoachiliwa, walitoka wakiwa wamejaa furaha, kwa sababu walistahili kuaibishwa kwa ajili ya jina la Yesu(Mdo 5:40-41).

Hivyo kama umeokoka. Kama unaishi maisha matakatifu, tambua shetani atakushambulia tu kwa namna moja au nyingine. Akiwatumia watu kukupiga vita, usiwaombee mabaya, usiwalaumu, usiwakasirikie, usiwalaani na kamwe usinyooshe mkono wako kushindana nao.

Kumbuka wanatumiwa tu na shetani. Wasamehe bure kama Yesu alivyowasamehe waliomsulibisha, maana hawajui walitendalo. Kumbuka maneno ya Paulo kwamba hatupaswi kushindana na wanadamu. Vita vyetu ni vya kiroho, dhidi ya shetani na mapepo yake(Efe 6:12).
Wakristo gani unawazungumzia, hao RC? Hao ht Mungu hawamjui
 
Mtu akiamua kuwa mfuasi wa Shetani ni wazi shetani hawezi kumsumbua tena. Si ameishamezwa? Hilo linaeleweka.
1 Petro 5:8
“Mwe na kiasi, na kukesha; kwa maana adui yenu, Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka akitafuta mtu ammeze.”
Why are you confusing yourself, you are quoting a book that has nothing to do with God, The Bible is NOT God's book, it's a collection of books written by men....get that right my dear.
 
Wakimalizwa, watakuwa wamemalizwa kimwili tu. Maana kila anayekufa katika Kristo bado anaishi. Na siku Yesu atakaporudi, atawafufua wote waliokufa katika Kristo, kisha watanyakuliwa kwenda mbinguni pamoja na watakatifu watakaokuwa hai.

Yohana 11:25-26
“Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima; yeye aniaminiye mimi ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.”

1 Wathesalonike 4:16-17
“Kwa kuwa Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.”

Mathayo 10:28
“Msiwaogope wauao mwili, wasioweza kuua roho; bali mwogopeni yeye awezaye kuiangamiza roho na mwili katika jehanum.”
Kama walizaliwa ili wauwawe nitakubaliana nawe.

Lakini kama kusuduio la Mungu kutupa uhai ni kuishi full life, kuna haja kujipambania, na Mungu atasaidia pia wakati wanapambania uhai wao.

Inatosha kufa vifo vya kuuliwa.
 
Ohoo. Tena wakijipambania ndio watafyekwa vizuri sana kwa majambia, na mbingu wataikosa, maana watakuwa wamefanya kinyume na agizo la Mungu la "Msilipe kisasi"
 
Mimi huwa najiuliza kule Nigeria wanavamiwa wanauwawa kwa maelfu lakini husikii wakilipiza kisasi je ni unyonge au ni ujinga au kuzidiwa maarifa?

Yani ikiwa muislamu ana ujasiri wa kuua mkristo anaukosaje ikiwa sote ni binadamu?

Au ndio kuogopa kufa kwa upanga? Au ni ndio tunamuachia Mungu?

Kuna sehemu tunakosea, kama ni amani wote tunaitaka, kwanini upande mmoja tu kila siku?
Nigeria wakristo nao wanalipiza kisasi sema hujafatilia tu ni sawa na africa ya kati waislam walianzisha but for now wanalia baada ya wakristo kuamka mpaka sasa wametimuliwa nchi hiyo
 
Sijasikia hata tukio moja la wakristo kuuwa waislamu duniani.
 
Ohoo. Tena wakijipambania ndio watafyekwa vizuri sana kwa majambia, na mbingu wataikosa, maana watakuwa wamefanya kinyume na agizo la Mungu la "Msilipe kisasi"
Sasa nini kusudio la Mungu kwao?

Aliwaumba wauwawe na waislamu au nini hasa kusudio la Mungu kwao ikuwa kujilinda nako nidhambi?
 
Mauaji na dhambi nyingine zote ni matokeo ya dhambi waliyofanya Adam na Eva.
Mungu alipouumba ulimwengu kila kitu kilikuwa chema. Hata wanyama walikuwa wanakaa na hao wanadamu wa kwanza bila kuwadhuru. Mungu anaandaa mbingu mpya na nchi mpya. Hakutakuwa na kifo tena. Hivyo tujipe moyo, kwa sasa kuna dhiki na kuuawa lakini Yesu akirudi, watakaonyakuliwa kwenda mbinguni hawataona mauti tena wala huzuni wala kilio.
Ufu 21:4-5
Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
 
Lakini huoni mauaji yanakatisha uhai wa hao viumbe wa Mwenyezi Mungu?

Ingekuwa fair kama nao wauaji wangepatwa na madhira yatakayo umiza mioyo yao na ya ndugu zao kama wao wafanyavyo kwa wenzao.

Lakini wakiendelea kugeuza shavu wataendelea kuuwawa, inabiti ifikie wakati tuseme inatosha.

Wanachofanya sasa ni cleansing ya Christianity jambo ambalo ni hatari.
 
Tunamlilia Mungu,sababu kuna wenzetu Wa ufufuo na Uzima sehemu yaobya Kuabudu imefungiwa.
 
Back
Top Bottom