Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

Na sisi hatuna uhakika na matukio ya kiislamu km vile sijui kuzaliwa Muddy,Mara oh!!, Sherehe ya kuchinja,n.k.Ndio maana huwa nazitupilia mbali.
 
Na sisi hatuna uhakika na matukio ya kiislamu km vile sijui kuzaliwa Muddy,Mara oh!!, Sherehe ya kuchinja,n.k.Ndio maana huwa nazitupilia mbali.
Kwani kuna mtu alikulazimisha kuzifuatilia?
Mbona unateseka kupita kiasi?
Angalia usije pata vidonda vya tumbo tu kwa chuki zisizo na maana.
 
Mambo mengine ya kitoto sana,kwani wasipo weka hiyo alama hutaenda mbinguni?
 
Kuna shida mahali maskini kwenye brain ,lakini huwezi kuamini Mungu ni binadam na ameteswa na binadam wenzie ukapata akili.Naishia hapo.
 
Dini zetu zimekuja na meli hizi wala sihangaiki kumuona huyu yupo tofauti kwa sababu ana dini tofauti na Mimi nashuru sana kwa kulitambua hilo...
 
Nyota ya Mashariki
 

Attachments

  • Nyota ya mashariki (with lyrics) by B Mukasa ( 360 X 640 ).mp4
    9.7 MB
Zima azam TV weka nyimbo zako za Christmas basi,hio alama haikupeleki popote,Iwe imewekwa au haikuwekwa Christmas ipo palepale
 
Kwani kuna kumbukumbu inayoonyesha yesu mwenyewe alisherekea siku yake ya kuzaliwa?
 
Nenda kaombewe kwa mamphosa nani alikuabia yesu alizaliwa dec 25?. Sehemu gani kwenye biblia imeandikwa yesu alizaliwa 25/dec?.yesu ni mungu uliona wapi mungu akazaliwa? Yesu ni mtoto wa mungu uliona wapi mungu anafanya mapenzi na mwanamke akazaliwa yesu.? uliona wapi mungu akawa fundi seremala?
 
Siku ije itokee rais muislam halafu kwenye baraza la mawaziri kuna wakristo 3,nchi itawaka moto
 
Acha udini kiongozi fikra mbaya sana hizo ulizonazo binadamu tuna tofauti nyingi sana kwanini hii ya dini ndiyo ikukwaze tu..Baki na Utanzania wako na heshimu imani ya kila mtu bila kuona imani yako ni bora kuliko zingine. Mungu akusimamie tuwe wanajamii bora. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…