February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Mkuu tufanye yaishe...sitaki kupoteza brain cells zangu bureSo to say that Jesus was born there, it is a fixation..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tufanye yaishe...sitaki kupoteza brain cells zangu bureSo to say that Jesus was born there, it is a fixation..
Mkuu kwahyo huwa unapumulia watu visogoni?Tutafutie king'amuzi mbadala cha kuwaangali mikia ndio uje na hoja zako za kifala fala.
Yataishaje wakati hayajaishaMkuu tufanye yaishe...sitaki kupoteza brain cells zangu bure
Ungependa kujaribu siku moja..??Mkuu kwahyo huwa unapumulia watu visogoni?
Jibu kwanza swali langu halafu nitajibu na la kwakoUngependa kujaribu siku moja..??
Tafuta mtoto wa la5 C uanzishe naye bato...atakuwa levo zakoYataishaje wakati hayajaisha
Tafuta mtoto wa la5 C uanzishe naye bato...atakuwa levo zako
X mass ndo kitu gani mkuu..Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.
Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.
King'amuzi chao nishachoma moto.
NdioJibu kwanza swali langu halafu nitajibu na la kwako
Hahaha daah aya bwana anza na CocasticNdio
Upo jarusalem buza kwamparangeMpaka sasa Niko hapa Jerusalem.
Jerusalem islaelUpo jarusalem buza kwamparange
Who is cocastic..?Hahaha daah aya bwana anza na Cocastic
Udini udini udini! Mwalimu alikataa haya mambo.