TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Said salimu BakharesaWakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.
Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.
King'amuzi chao nishachoma moto.
bila shaka umepata jibu