Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.

Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.

King'amuzi chao nishachoma moto.
Said salimu Bakharesa

bila shaka umepata jibu
 
Mi ni mkristo na nimezaliwa kwenye ukristo.
Maada ya mtoa maada iko kinyume na ukristo.
Isitoshe Azam kama anatumia tv yake kutangaza dini yake kuna shida gani?
Yapo mambo ya msingi ya kujadili,, huu utopolo unatupotezea muda.
hujielewi ile ni for public use inabidi isiegemee upande wowote wateja wote wapate haki kwa udini wao. lasivyo aseme km ni kwa waislamu tu
 
Daudi this has nothing to do with his/her age. It has everything to do with his/her hatred against Islam
hujielewi ile ni for public use inabidi isiegemee upande wowote wateja wote wapate haki kwa udini wao. lasivyo aseme km ni kwa waislamu tu
 
Tutafutie king'amuzi mbadala cha kuwaangali mikia ndio uje na hoja zako za kifala fala.
hujielewi ile ni for public use inabidi isiegemee upande wowote wateja wote wapate haki kwa udini wao. lasivyo aseme km ni kwa waislamu tu
 
Unamjua owner wa hiyo media na interests zake?
Mimi sina shida na imani ya mzee Backhresa,minachotaka ni huduma bora.

Waliotuletea izi dini wala awana muda mchafu wa kupoteza kwenye mambo ya dini,ila sisi waswahili viherehere ndo tunashupaa mishipa ya shingo.
 
hujielewi ile ni for public use inabidi isiegemee upande wowote wateja wote wapate haki kwa udini wao. lasivyo aseme km ni kwa waislamu tu
Siyo media ya serikali.
Kuna media nyingi tu ambazo si za serikali na hazipangiwi cha kutangaza ili mradi hazivunji sheria.

Ukristo unahubiri upendo, kusameheana, kuvumilia madhaifu ya wenzako, ukristo haufundishi kulipa kisasi kama mtoa mada anavyotaka.
 
Ukristo wa kweli sio alama wala maneno. Ukristo wa kweli ni moyo wako.

Hivyo iwapo unagundua Mwenzako au Jirani yako hafanyi inavyokupendeza basi yakupasa kuzidisha upendo kwake na kumuombea mema na mabaya.

Haya unayowakilisha hapa sio Ukristo hivyo rudi kwa waliokutuma waambie hiyo sio vizuri.
 
Kuhusu kususia inaweza isiwe sawa sana ika Azam wana udini sana, hiko liko wazi. Ukiqmua kufanya biashara fanya kwa jamii yote. Sikukuu zao huweka hadhi tamthilia zenye maudhui yao ilihali watanzamaji ni wa dini zote, na tena huweka kwenye chaneli isiyo ya dini, wanaweka kwenye Sinema zetu. Acheni kum attack mtoa uzi as if kaongea ujinga
 
Huyu Bakherssa muoneni vile ni mbaguzi wa kidini vibaya sana msikieni tu!
Uko sahihi, wanamu attack mtoa uzi as if kaongea uongo. Azamtv ikifika wakati wa sherehe za dini za Kiisalam wanatuwekea hadi tamthilia zenye maudhui yao kwenye Channel za kuangaliwa na watu wote (Sinema zetu). Kama wameamua kuweka maudhui yao waweke kwenye chaneli za dini na sio chaneli za jumla, kama wameamua kuonesha kuwa hii ni sikukuu hii iwe neutral.
 
Back
Top Bottom