Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This comment made my day! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Ungependa kujaribu siku moja..??
Huhitaji kufika Israel kujua Imani za Wayahudiwewe ni Jew??Haya umeyajulia wapi?Ulishawahi hata kufika Israel?(PS:Mimi tayari)
Kwahyo nawewe unasema jews hawamjui Yesu na wanasema hakuzaliwa wala kuishi au kufa Israel?Huhitaji kufika Israel kujua Imani za Wayahudi
Soma Jerusalem Watch ,Algameiner, United With Israel nk mtandaoni kuwajua Mayahudi.
Kwa taarifa yako miezi miwili kituo kimoja cha Tv based in Jerusalem kimefungiwa kwa kuhubiri habari za Yesu
Soma sana upate maarifa,ujuzi na ufahamu wa mambo mbali mbali.
LOL! uraia ama asylum?Kwaiyo bwashee mimi kukataa kuachana na king'amuzi cha Azam ndo iwe sababu ya mimi kuikana imani yangu?
Ao wanaotuma misaada uku kwetu ndo wenye dini zao,kwao awana time na dini.
Nchi za E.U ndo zinaongoza kuwapa uraia watu wanaotoka kwenye nchi za kiislam.
Dini ya asili Ni ipi? Kuabudu Ng'o mbe, jua, makaburini, mizimu, Miti au mwezi?Hizo Dini za kigeni zime wapumbaza akili kama ningekua na uwezo basi hizi dini mbili ukiristo na uislamu ningezifutilia mbali, watu turudi kwenye dini zetu za asili
sio lazima kuabudu...dini sio maji ya kunywa sio Basic needDini ya asili Ni ipi? Kuabudu Ng'o mbe, jua, makaburini, mizimu, Miti au mwezi?
Na ni nyingi zaidi pamoja na hizi zinazoitwa za kitaifa kwa jasho la watanzania wote..Azam ni moja tu na bado imekukaa moyoni.Kwani Channel ni Azam tu. Agalia zinazoonyesha mambo ya Xmas
Pua za jamaa zako. Una akili za kitoto sana wewe mtoto.hujielewi ile ni for public use inabidi isiegemee upande wowote wateja wote wapate haki kwa udini wao. lasivyo aseme km ni kwa waislamu tu
Kauli yako kuhusu Bakhresa imenisikitisha sana. Mbaya zaidi umetuhusisha Waislam wote kuwa tuna msimamo huo juu ya Bakhresa.Na ni nyingi zaidi pamoja na hizi zinazoitwa za kitaifa kwa jasho la watanzania wote..Azam ni moja tu na bado imekukaa moyoni.
Kama hujui hata sisi waislamu hatumuamini Bakhresa kama ni muislamu mwenzetu kwani anaweka mambo ya kikristo mengi kuliko ya kiislamu. Mpira na michezo ya kituruki inatupotezea muda wetu bure kufanya ibada.
inshu hapo siyo uislam wala hajasema anauchukia ....yeye anataka bakhresa aiweke kitu cha kuashiria krismass.....however channel zipo nyingi anaweza kuweka kitu kingine pia taasisi hinaweza kujipambambanua kufanya mambo fulani hatjui usajili wakeDaudi this has nothing to do with his/her age. It has everything to do with his/her hatred against Islam
Ami hapo mtapoteana bakheresa anafanya biashara anaweza kuwa na imani yake binafsi lakini kibiashara anafanya vile anavyoona anapata faida mbona wapo watu wa kila imani wana magesti....mi nafkiri msilamumu saaaana tuendelee kunywa azam energy ambazo mi nafkri hata yeye bakhresa hanywi ahahaaaaaaaaaaaNa ni nyingi zaidi pamoja na hizi zinazoitwa za kitaifa kwa jasho la watanzania wote..Azam ni moja tu na bado imekukaa moyoni.
Kama hujui hata sisi waislamu hatumuamini Bakhresa kama ni muislamu mwenzetu kwani anaweka mambo ya kikristo mengi kuliko ya kiislamu. Mpira na michezo ya kituruki inatupotezea muda wetu bure kufanya ibada.
na mim nilitaka kusema kwa mabasi ya kwenda huko.kaskazin.ni kwaya mwanzo mwisho.lakin kama unaona hupendi unalaza siti unalala zako au unachkua gazeti unasoma.Acha udini boss,Kama wameamua hivyo,sie halituhusu,unaposema tuisusie,vipi kuhusu waajiriwa ambao ni wakristo,waache kazi?
Sio busara,tusipende kila kitu kukihusisha na dini.
Ukipanda boti yeyote inayoenda Zenj,vipindi vyote vinavyooneshwa kwenye Tv ndani ya boti,vina maudhui ya islam,lakini haimaniishi kwamba wanawasharau wakristo,inawezekana sababu ni kwamba asilimia kubwa ya wasafiri ni Islam,
Ukipanda Basi lolote linalotoka Mwanza kwenda Moshi,au Dar kwenda Arusha,nyimbo nyingi zinazopigwa ni za kikristo,lakini haimaniishi abiria wote ni wakristo,
and ye shall fall beneath like wormNa sisi hatuna uhakika na matukio ya kiislamu km vile sijui kuzaliwa Muddy,Mara oh!!, Sherehe ya kuchinja,n.k.Ndio maana huwa nazitupilia mbali.