Mbona sisi baniani sikukuu zetu zinapuuzwa na tunaona sawa tu?Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.
Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.
King'amuzi chao nishachoma moto.
Nyinyi mnaokunywa vinywaji vyake na kushangilia timu zake za mpira na kukesha kuangalia tamthilia mnamuona anafanya ya maana sana.Lakini kwetu sisi hana umuhimu wowote.Ana mengi angetufanyia waislamu na tukafaidika na utajiri wake.Kauli yako kuhusu Bakhresa imenisikitisha sana. Mbaya zaidi umetuhusisha Waislam wote kuwa tuna msimamo huo juu ya Bakhresa.
Mwenzio sijuagi kingeledha.and ye shall fall beneath like worm
Kama petrol station zao na mkakati wao wa kila shell na msikiti halafu u nategemea wata balance dini thubutu,usikwazike kama unajua tafsiri ya IMANI.Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.
Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.
King'amuzi chao nishachoma moto.
kati ya watu mapunguan humu JF....utajiri ni wa kwake ni wa kwenu?Nyinyi mnaokunywa vinywaji vyake na kushangilia timu zake za mpira na kukesha kuangalia tamthilia mnamuona anafanya ya maana sana.Lakini kwetu sisi hana umuhimu wowote.Ana mengi angetufanyia waislamu na tukafaidika na utajiri wake.
Nakumbuka ITV waliwahi kuchelewa kwa dk 9 kipindi chao walimjia juu MENGI utadhani ni ustaadh au alikusudia nilishangaa sana mbona wanatumia nguvu kwenye suala la IMANI?Ukristo ni imani ambayo hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuielewa/kuisambaza/kuifuata na kuiishi
Kwa imani yako yenye upungufu unasema utajiri ni wa kwake.Katika uislamu utajiri wake ni wetu sote.Yeye ni dhamana tu na asipoutumia vizuri ipo hukumu ya kufilisiwa ili watu wengi wafaidike.kati ya watu mapunguan humu JF....utajiri ni wa kwake ni wa kwenu?
😅😅mtu atafute kwa jasho lake afu kirahisi tu wazee mnataka kitonga......Hiyo ni "imani" yako ila sio dini haisemi hivoKwa imani yako yenye upungufu unasema utajiri ni wa kwake.Katika uislamu utajiri wake ni wetu sote.Yeye ni dhamana tu na asipoutumia vizuri ipo hukumu ya kufilisiwa ili watu wengi wafaidike.
Hii misikiti inaendana na mahitaji ya watu si kwamba inawekwa kutangaza dini isipokuwa ni kuwarahisishia watu kuabudu.Kama petrol station zao na mkakati wao wa kila shell na msikiti halafu u nategemea wata balance dini thubutu,usikwazike kama unajua tafsiri ya IMANI.
azam wanajua xmass ni upagani. unataka watangaze upagani. hakuna hiyo tarehe kwenye biblia mkuuWakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa.
Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani.
King'amuzi chao nishachoma moto.
Ndiyo hivyo mkuu, wanaamini sana katika kulazimisha mamboNakumbuka ITV waliwahi kuchelewa kwa dk 9 kipindi chao walimjia juu MENGI utadhani ni ustaadh au alikusudia nilishangaa sana mbona wanatumia nguvu kwenye suala la IMANI?
Ijapokuwa ninakunywa baadhi ya vinywaji vinavyotengenezwa na Azam, ila sishangilii timu zake wala siangalii tamthilia. Huo msimamo wako hauko sawa. Na hayo mambo mengi ni yapi? Na kutofanya hayo mengi kunamfanyaje asiwe Muislam? Acha jazba na mihemko katika dini.Nyinyi mnaokunywa vinywaji vyake na kushangilia timu zake za mpira na kukesha kuangalia tamthilia mnamuona anafanya ya maana sana.Lakini kwetu sisi hana umuhimu wowote.Ana mengi angetufanyia waislamu na tukafaidika na utajiri wake.
Huna tu pesa ya kulipa kisumbuziKing'amuzi chao nishachoma moto
Watu wanajenga vyuo vikuu na kufadhili tafiti mbali mbali.Yeye anajenga viwanja vya mpira.Akifa atajutia mali zake.Ijapokuwa ninakunywa baadhi ya vinywaji vinavyotengenezwa na Azam, ila sishangilii timu zake wala siangalii tamthilia. Huo msimamo wako hauko sawa. Na hayo mambo mengi ni yapi? Na kutofanya hayo mengi kunamfanyaje asiwe Muislam? Acha jazba na mihemko katika dini.
Okey mkuuinshu hapo siyo uislam wala hajasema anauchukia ....yeye anataka bakhresa aiweke kitu cha kuashiria krismass.....however channel zipo nyingi anaweza kuweka kitu kingine pia taasisi hinaweza kujipambambanua kufanya mambo fulani hatjui usajili wake