MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kiukweli toka utotoni mwangu hili suala limekuwa likinitafakarisha sanaKipindi cha ukabaila kule Ulaya, maaskofu walikuwa wananeemeka sana huku mapadri wakiisoma namba.
So tangu na tangu maaskofu wamekuwa kwenye tabaka fulani la kibepari
Pengo yupi tenaWaongoza Misa leo walikuwa maaskofu wa Iringa na sijui wapi kule kusini, hivi Dar hakuna askofu au Pengo hana msaidizi? sijui hili limekaaje, hebu tufafanulieni mnaojua ni utaratibu gani ulitumika maaskofu wa mbali hivyo kuja Dar kuongoza ibada ili hali wa Dar au Morogoro wapo
Ndo mana sometimes mimi naona Mungu haexist.... mbona matendo ya kibaguzi namna hii yanatokea, tena yanafanywa na wapakwa mafuta, yet Mungu yupo kimya.. he must be very unfair
Kwa hiyo Dar siku hizi hakuna askofu au ?Pengo yupi tena
Au hujui kama Pengo alishang'atuliwa
Jimbo katoliki la Dsm lipo chini ya Askofu mkuu mwandamizi Baba askofu Ruwaichi Yuda ThadeiKwa hiyo Dar siku hizi hakuna askofu au ?
Waongoza Misa leo walikuwa maaskofu wa Iringa na sijui wapi kule kusini, hivi Dar hakuna askofu au Pengo hana msaidizi? sijui hili limekaaje, hebu tufafanulieni mnaojua ni utaratibu gani ulitumika maaskofu wa mbali hivyo kuja Dar kuongoza ibada ili hali wa Dar au Morogoro wapo
Who told you, hao ni "wapakwa mafuta"?Ndo mana sometimes mimi naona Mungu haexist.... mbona matendo ya kibaguzi namna hii yanatokea, tena yanafanywa na wapakwa mafuta, yet Mungu yupo kimya.. he must be very unfair
Mkuu usipotoshe uma Kama huna taarifa sahihi kukaa kimya ni busara.Yule Ngalekumtwa wa Iringa ndo mkuu wa Baraza la maaskofu TEC( Sijui anaitwa Rais wa TEC/mwenyekiti)
Kwa maana hiyo ndio kiongozi wa Maaskofu wote wa Katoliki Tanzania